Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
KwaniniWatu kimya,tutorial assistant sio kipaumbele cha wengi
GPAWatu kimya,tutorial assistant sio kipaumbele cha wengi
Mara nyingi maswali utakayoulizwa ni kutokana na presentation utakayoifanya. Ni kawaida ukiingia kwenye interview room kupewa dakika kadhaa u-present topic yoyote inayohusiana na fani unayoiomba ili wakuone uwezo wako katika kuwasilisha mada mbele ya hadhira. Hivyo kuwa makini sana katika kuchagua topic husika, hakikisha upo vizuri sana kwenye topic hiyo. Maswali mengine huwa ni general kuhusu taasisi husika unayoomba kazi, vitu kama vision,mission nakadhalika.Habari za muda huu wapendwa, poleni na majukumu mbalimbali katika kulijenga taifa letu.
Lengo la uzi huu ni kujuzana ni maswali ya namna gani yanaulizwa katika interviews za tutorial assistant kwa sekta ya Elimu.
Kama ulishawahi kufanya interview utumishi na ukafaulu au vinginevyo basi tupeane ujuzi jinsi ya kujibu maswali ya written na oral interview.
Si mbaya hata kama tutapeana updates za nafasi za kazi zinapotoka na mengineyo.
Watu wangu wa BED ECE, BED PSY, ADULT EDUCATION, BED ICT, POLICY STUDIES, BED ADMAN n.k njooni tupeane ujuzi huku.
Asante kwa maelezo mazuriMara nyingi maswali utakayoulizwa ni kutokana na presentation utakayoifanya. Ni kawaida ukiingia kwenye interview room kupewa dakika kadhaa u-present topic yoyote inayohusiana na fani unayoiomba ili wakuone uwezo wako katika kuwasilisha mada mbele ya hadhira. Hivyo kuwa makini sana katika kuchagua topic husika, hakikisha upo vizuri sana kwenye topic hiyo. Maswali mengine huwa ni general kuhusu taasisi husika unayoomba kazi, vitu kama vision,mission nakadhalika.
Na vipi kwa tutorial assistant kwenye somo la kiswahili usaili wao wanatumia lugha gani ni kiswahili au kiingereza ?Mara nyingi maswali utakayoulizwa ni kutokana na presentation utakayoifanya. Ni kawaida ukiingia kwenye interview room kupewa dakika kadhaa u-present topic yoyote inayohusiana na fani unayoiomba ili wakuone uwezo wako katika kuwasilisha mada mbele ya hadhira. Hivyo kuwa makini sana katika kuchagua topic husika, hakikisha upo vizuri sana kwenye topic hiyo. Maswali mengine huwa ni general kuhusu taasisi husika unayoomba kazi, vitu kama vision,mission nakadhalika.
Sijui kwakweli but I guess wanatumia kiswahili.Na vipi kwa tutorial assistant kwenye somo la kiswahili usaili wao wanatumia lugha gani ni kiswahili au kiingereza ?
Thank u bro,naomba kujua anaefahamu niliomba nafasi ya tutor ADEM dirisha lilifungwa 16 June,je makadirio wanaita kwenye interview baada ya muda gani?Mara nyingi maswali utakayoulizwa ni kutokana na presentation utakayoifanya. Ni kawaida ukiingia kwenye interview room kupewa dakika kadhaa u-present topic yoyote inayohusiana na fani unayoiomba ili wakuone uwezo wako katika kuwasilisha mada mbele ya hadhira. Hivyo kuwa makini sana katika kuchagua topic husika, hakikisha upo vizuri sana kwenye topic hiyo. Maswali mengine huwa ni general kuhusu taasisi husika unayoomba kazi, vitu kama vision,mission nakadhalika.
Sijaelewa nduguLabda mwezi want an huko
Mwezi wa nane labdaSijaelewa ndugu
Nimekupata bestMwezi wa nane labda
KiswahiliTutor somo gani ?
Umeomba TATAKI au wapi?Kiswahili
Karibu sanaNikabe siti hapa
Karibu sanaSubscribed....∆∆∆[emoji2398][emoji2398]