USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

Mtambachuo

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
1,907
Reaction score
3,560
USAID is officially dead.

Elon Musk alisema USAID ni shirika la kihalifu na linapaswa kufa

Kwa taarifa hii ni wazi kwamba kauli yake imetekelezwa

Je ndugu zangu nini itakuwa athari kwa Afrika hususani Tanzania aliyekuwa anaongoza kwa kupokea mafungu huko USAID


 
Zimwi walilichagua wenyewe
 
Kufa Kwa USAID ni kifo Kwa Tanzania.maana condom tutapata wapi?ARV titapata wap?NIMR itakufa kifo Cha mende,Magari waliyokuwa wanatupa tutayakosa na mengine mengi.Kwa kuwa wa afrika hatuna akili ya kujitegemea,inabidi mama yetu aende marekani kumbembeleza trump asilifute hili shirika letu.
 
Zile chandarua za bure tulizokua tunafugia kuku bye bye
1. Kuna maelfu ya watu wamepoteza ajira.
2. Kuna maelfu ya vendors wamepoteza malipo.
3. Kuna watu wamepoteza mitaji kwa uwekezaji wakitegemea tenda na kadhalika.
4. Kuna wafanya biashara wengi wanaenda kuharibikiwa na vitu walivyo nunua/stock wakijua watatumia kwenye kazi/tenda za mashirika.
5. HIV imeingia katika karibu kila familia na hawa watakua waathirika wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…