USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

Naomba kuuliza kwa izo Dawa za ARV na TB zinatengenezwa USA tu.
Kwamba hamna viwanda sehemu nyingine watu wanunue?
Nchi nyingi zinatengeneza. Hata TZ pale Keko walishawqhi kutengeneza. However, shida sio kutengeneza, Shida ni FUND!

Utatengeneza na mchanga na maji ndugu yangu? System za kutengeneza ARVs ni very sophisticated na kiwanda must meet standard and GMP qualification from WHO and other international standards then Raw material utanunua na nini ? Nazo ni expensive sana zinatoka huko huko majuu…,,

At average, dawa za ARVs kwa mwezi not less than 65 USD LIKE 140K , regimen ikichange cost inaongezeka

It is a good lesson for black skin , badala vijana muangalie life in a big picture , kazi n kupiga uchawa na anatekeleza ilani mama anaupiga mwingi.

Tutaongea language moja

Ni suala la muda

Lay off zitaingia hadi gvt
 
Mimi akili yangu inaniambia kuwa mission ya kuanzishwa kwa USAID imekamilika na sasa wanaiondoa.
Kama siyo mission Trump asingeamka from no where na kulifuta. Wameona sensa inaonesha kuwa jamii yetu imeshakuwa chronic tayari kwa matumizi ya ARV na vitu vingine hivyo ni muda muafaka wa wao kupunguza population (rasilimali watu) huku wakipiga pesa zaidi kwa mauzo ya dawa kwa watakaoweza.

Kweli Amerika wametukomoa, ndugu zangu tutaangamia sana kwa hofu.
Toa Data ya claim yako

Lengo la dunia ni nchi ziwe interdependency

Nyie mmekuwa dependent san . Hili ni tatizo Halaf why mnaona ni lazima kusaidiwa

Hakuna cha mission

JITEGEMEENI FULL STOP
 
Nchi nyingi zinatengeneza. Hata TZ pale Keko walishawqhi kutengeneza. However, shida sio kutengeneza, Shida ni FUND!

Utatengeneza na mchanga na maji ndugu yangu? System za kutengeneza ARVs ni very sophisticated na kiwanda must meet standard and GMP qualification from WHO and other international standards then Raw material utanunua na nini ? Nazo ni expensive sana zinatoka huko huko majuu…,,

At average, dawa za ARVs kwa mwezi not less than 65 USD LIKE 140K , regimen ikichange cost inaongezeka

It is a good lesson for black skin , badala vijana muangalie life in a big picture , kazi n kupiga uchawa na anatekeleza ilani mama anaupiga mwingi.

Tutaongea language moja

Ni suala la muda

Lay off zitaingia hadi gvt
Sahizi wako busy na uchawa, effect ikianza ku take place, ni suala la muda tu reality itaanz akuonekana. Kwanza wimbi la unemployed litakuwa kubwa sana, maambukizi kupanda juu just like nigeria
Hapa sidhan kama gov imejipanga
 
USAID is officially dead.

Elon Musk alisema USAID ni shirika la kihalifu na linapaswa kufa

Kwa taarifa hii ni wazi kwamba kauli yake imetekelezwa

Je ndugu zangu nini itakuwa athari kwa Afrika hususani Tanzania aliyekuwa anaongoza kwa kupokea mafungu huko USAID

View attachment 3225645
Na soft power ya USA itakufa pia
 
Hilo shirika nimeanza kulisikia na kuona mabango yake miaka ya sitini likihusishwa na ufadhiri wa mahindi ya njano mafuta ya kula na Burga.
Fikiria shirika lipo tu awamu zote likiwa shahidi wa kila Rais anaeingia madarakani kama historia ya mzee Wasira.
Kazi zilizofanywa na shirika hilo la Marekani likiwanufaisha wachache tena wa chama chakavu au Serikali yake, tukubaliane na hali iliyoibuliwa na Elon Musk kuwa " USAID" is no more.... RIP 🤣
Hili shirika limewatajirisha wengi sana kwa njia ya ufisadi kwanzia huko marekani penyewe... kuna mmarekani ameajiriwa kwenye hili shirika mwaka 2021 akiwa na ukwasi wa $6m-13m hapo ila ndani ya miaka 3 ukwasi wake umekuwa mpaka umefikia $30m na hakuna kazi nyingine anayoifanya sasa hivi raia wamemkalia kooni
Screenshot_20250208_123628_X.jpg
 
Hili shirika limewatajirisha wengi sana kwa njia ya ufisadi kwanzia huko marekani penyewe... kuna mmarekani ameajiriwa kwenye hili shirika mwaka 2021 akiwa na ukwasi wa $6m-13m hapo ila ndani ya miaka 3 ukwasi wake umekuwa mpaka umefikia $30m na hakuna kazi nyingine anayoifanya sasa hivi raia wamemkalia kooni View attachment 3230422
This is deep. No way, They must be fired.
 
Kuna wizi wa kutisha serikalini uliowahi kufanyika huko nyuma kama huu unaofanyika awamu hii ya sita?

Hebu njoo hapa Tabora nikuoneshe almashauri ambayo kuna watumishi wake wamekufa tangu mwaka 2022 lakini mpaka Leo mishaara yao bado inaendelea kutoka na watu wanaikunja..!!

Nyie wahanga wa vyeti feki ni wanafiki sana, mkimuongelea magufuli kwa mabaya yake mnajificha kwenye udikteta,utekaji na huo ufisadi japo haukuwa wa kutisha kama huu wa sasa... ila kiukweli huwa mnamchukia Magufuli kwa sababu zenu binafsi za kuwavurugia maisha yenu ya ujanja ujanja...

Na kwa bahati mbaya sana majeraha aliyowaachia sio ya kupona Leo wala kesho.
Akili yako inakutuma kuwa kila mtu anaishi kwa kutegemea cheti? Watu kama nyie ndiyo Jiwe aliwatumia kama mtaji wake. Mliitwa wanyonge mkawa mnafurahi na kubinuka, haya sasa huo unyonge wenu aliumaliza au mpaka sasa bado ni wanyonge? 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom