Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
- #201
Ni la nini hilo ?Ku adjust kuishi below standard ndio kipengele. Wana Mansion lao Goba bonge la dude.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni la nini hilo ?Ku adjust kuishi below standard ndio kipengele. Wana Mansion lao Goba bonge la dude.
Na bosi wa USA tayari kabadilishwa yupo mwingine. Shirika lilikuwa na rushwaHao majizi ndio yamepanga foleni kumpinga Trump kule USA. Wao nao walikuwa wanafanya uhuni tu wa wafanyakazi hewa na activity hewa kama huku bara la giza tu.
Yani ufisadi kumbe ulikuwa top-down ndio maana Elon Musk kasema shirika la wahalifu lifutwe 😂
Hasa hao Wizara ya Afya na Tamisemi yatakuwa yamenuna kwaWale WA kula kwa urefu wa kamba watakiona mwaka huu
Daaaah kwa mtindo wa maisha hayo Kweli kuja dunduliza afu tatu tatu ni ngumu! Inawezekana hata WAKAJIUA VIBAYA SANA! Kwa kuogopa shida na fedhea mtaani😂😂Kaka biashara sio rahisi kwa mtu aliyezoea kula kwa kalamu na zoom meeting😁! Bora hata walivyonunua hizo apartments watakulaga kodi.
Mtu kazoea anajichotea hadi 20M kila mwezi. Hapo ni deals nje ya mshahara, kuandaa activity za bosheni😂 anaidhinisha hela anajimegea. Kwa siku matumizi ya mafuta tu Prado J150 inameza sio chini ya 60K kwenda mjini na kurudi hapo hajala wala kutoka out. Mtu wa bia na wana anazamisha almost 150K daily.
Sasa huyo umwambie aitafute hio 20Million tu mtaani si atapagawa?
Haha, ndo shida ya kutegemea sana pesa za Bure. Wenzetu kutufanya kuwa dependant si kuwa hawana akili, Sasa hata tukiambiwa tule kinyesi Ili USAID ipige kazi tutalamba, njaa mbaya sana.Kinacholiliwa ni maslahi ya watu wengi yanaenda kufeli.
Mama yako ndiyo kwanza Yuko bize na wasanii huko dodoma we huogopi?Kufa Kwa USAID ni kifo Kwa Tanzania.maana condom tutapata wapi?ARV titapata wap?NIMR itakufa kifo Cha mende,Magari waliyokuwa wanatupa tutayakosa na mengine mengi.Kwa kuwa wa afrika hatuna akili ya kujitegemea,inabidi mama yetu aende marekani kumbembeleza trump asilifute hili shirika letu.
Zimwi kwako wewe. Wao hawahitaji misaada ya USAID.Zimwi walilichagua wenyewe
Mpaka matundu ya vyoo kwa msaada wa watu wa Marekani.Zimwi kwako wewe. Wao hawahitaji misaada ya USAID.
Trump is a godsend for Africa.
Ameletwa na Mungu.
Jitu jeusi, omba omba la dunia, litakoma na litajifunza.
Jengo jipya la Makao Makuu ya Afrika mmepokea msaada.
Mmeshindwa kujiheshimisha kuchanga mjenge jengo moja ambalo hata Vunja Bei analo Sinza Palestina uswahilini humu ? Au majengo ya Kariakoo ni ya Wajapani yale ?
Stupid arse sycophants. Watu wanaopenda kujishusha kuliko ten dollar hookers.
Tatizo mtu mweusi ukishazoea misaada na akili yako inakuwa dumavu kiasi cha kutotaka kabisa kufikiri na mbaya zaidi unakuwa hauko tayari kupoke habari mbya kuhusiana na kile ambacho tayari unakiamini.Punguza ujuaji, walioajiriwa hawajui ila wewe usiye ajiriwa ndio unajuwa hizo bioweapon? Watu wanaumia kwasababu wanajua serikali yetu haina msaada na raia, unadhani ni watu wangapi wapo hatarini kufariki kwa malaria,Tb,Aids pamoja na depression ya kukosa kazi?
Kwa maana nyingine unasema hatutakiwi kuiwajibisha serikali yetu ya CCM kwa kushindwa kutimiza wajibu wake licha ya sisi kulipa kodi na wao kwenda kuitumia kodi hiyo kununulia mav8 na badala yake tuanze kusononeka na kulaani kitendo cha raisi Trump kusitisha misaada sio?Bahati mbaya karibu kila familia bongo inamuathirika, ina ndugu wapo vijijini kwenye malaria huko. Kwahiyo utafurahi zaidi USAID kufungwa ambavyo ndugu zako wakifa kama kuku wenye kideli huku hao wenye serikali yao wakiendelea kutamba tu kwenye mavieite
Yes, matundu ya vyoo.Mpaka matundu ya vyoo kwa msaada wa watu wa Marekani.
Hawa wajinga na akili zao dumavu hawana lolote wanalojua na akili zao dumavu.Watu kama wewe mnaodhani mnapendwa sana na wamarekani mpo wengi wala sio ajabu
Kwanza kitendo cha kuletewa condom za misaada ni tusi kubwa sanaYes, matundu ya vyoo.
Na pedi.
Tunaomba watu wengine watupe pedi za kusitiri wanawqke zetu wasinuke damu mitaani.
Mwafrika omba omba hana pride na haogopi kuliwa. Ukimwombai jirani pedi za mkeo, akimla utamlaumu ???
Wewe upo tayari kuiwajibisha serikali ya CCM kwa vitendo? Labda nikutaarifu tu nimeshiriki maandamano si chini ya mara 1, mara ya kwanza ya machinga Mbeya vs Kandoro na mara ya pili hayo ya katiba mpya.Tatizo mtu mweusi ukishazoea misaada na akili yako inakuwa dumavu kiasi cha kutotaka kabisa kufikiri na mbaya zaidi unakuwa hauko tayari kupoke habari mbya kuhusiana na kile ambacho tayari unakiamini.
Kwa hiyo wewe unakataa hiyo USAIDS hauhusiki na kutengeneza bioweapon kisa tu mtu aliyekuletea habari hiyo sio muajiriwa wa hiyo taasisi au? Haya huyu hapa Elon Musk mwenyewe amesema kitu hicho hicho kwenye ukurasa wake wa X
"Did you know that USAID, using YOUR tax dollars, funded bioweapon research, including Covid-19, that killed millions of people?"
Na pia kwanini muumie na serikali ya marekani imesitisha misaada? Yaani kabisa bila aibu unasema eti serikali yetu haina msaada na hivyo tuishi kwa kuitegemea serikali ya marekani serious? Kwa hiyo hivyo vifo vitakavyotokea vitakuwa vimesababishwa na serikali ya raisi Trump maana imekata misaada na sio serikali ya CCM si ndio maanake?
Kwa maana nyingine unasema hatutakiwi kuiwajibisha serikali yetu ya CCM kwa kushindwa kutimiza wajibu wake licha ya sisi kulipa kodi na wao kwenda kuitumia kodi hiyo kununulia mav8 na badala yake tuanze kusononeka na kulaani kitendo cha raisi Trump kusitisha misaada sio?
Watu wenye fikra kama zako ni sababu tosha kwanin Trump yuko sahihi kusitisha misaada ya aina yoyote huku Africa, maana akili zenu ni dumavu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wakati mkinywa wote mlikuwa mnamshangilia Trump huku mnamtukana Kamala [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumeanzaa kuchangamkaaaNdio binadamu tulivyo, lakini pia wabongo wengi walikuwa wanashangilia Trump alivyokuwa against mashoga na immigrants, kila mtu ajitetee kivyake [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahDaah walitudharau sana yaaani kazi zetu za ualimu walikuwa wanaona ni km kazi za ma bek tatu tu
Wakipita ma shuleni huko na gari zao wanaona sisi kama vinyago tu wakusubiri kufa [emoji23][emoji23]
Asante sana mkuu kwa kumjibu huyu kuku wa kisasaTatizo mtu mweusi ukishazoea misaada na akili yako inakuwa dumavu kiasi cha kutotaka kabisa kufikiri na mbaya zaidi unakuwa hauko tayari kupoke habari mbya kuhusiana na kile ambacho tayari unakiamini.
Kwa hiyo wewe unakataa hiyo USAIDS hauhusiki na kutengeneza bioweapon kisa tu mtu aliyekuletea habari hiyo sio muajiriwa wa hiyo taasisi au? Haya huyu hapa Elon Musk mwenyewe amesema kitu hicho hicho kwenye ukurasa wake wa X
"Did you know that USAID, using YOUR tax dollars, funded bioweapon research, including Covid-19, that killed millions of people?"
Na pia kwanini muumie na serikali ya marekani imesitisha misaada? Yaani kabisa bila aibu unasema eti serikali yetu haina msaada na hivyo tuishi kwa kuitegemea serikali ya marekani serious? Kwa hiyo hivyo vifo vitakavyotokea vitakuwa vimesababishwa na serikali ya raisi Trump maana imekata misaada na sio serikali ya CCM si ndio maanake?
Kwa maana nyingine unasema hatutakiwi kuiwajibisha serikali yetu ya CCM kwa kushindwa kutimiza wajibu wake licha ya sisi kulipa kodi na wao kwenda kuitumia kodi hiyo kununulia mav8 na badala yake tuanze kusononeka na kulaani kitendo cha raisi Trump kusitisha misaada sio?
Watu wenye fikra kama zako ni sababu tosha kwanin Trump yuko sahihi kusitisha misaada ya aina yoyote huku Africa, maana akili zenu ni dumavu sana.
..nao panga limeshawapitiaHivi ile Benjamin Mkapa Foundation nayo si IPO chini ya USAID?
"Wewe uko tayari kuiwajibisha serikali ya CCM kwa vitendo?"Wewe upo tayari kuiwajibisha serikali ya CCM kwa vitendo? Labda nikutaarifu tu nimeshiriki maandamano si chini ya mara 1, mara ya kwanza ya machinga Mbeya vs Kandoro na mara ya pili hayo ya katiba mpya.
Lengo sio kubishana ionekane nani na nani anajuwa zaidi au mzalendo, wewe huoni athari ya watu kukosa ajira,huoni athari ya matibabu ila unaona kama ni sababu ya kuiwajibisha serikali ya CCM as if hakukuwa na sababu lukuki za kufanya hivyo huko nyuma.
Narudia tena karibu kila familia inaguswa na USAID hapa Tz, jiandaeni kuzika ndugu zenu kijana kwa kushindwa mudu gharama za matibabu wakati hao viongozi wa CCM wakiendelea kubugia ARV zao fresh kabisa kwenye mashangingi yao.
Hawa kuku wa kisasa akili zao ziko inflexible yaani uwezo wa kufikiri una limit, hawawazi nje ya wigo waliojifungia....!!Asante sana mkuu kwa kumjibu huyu kuku wa kisasa