USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

Sio mchezo watu walivuna pesa mkuu, na bado walikuwa ni vijana.

Na ndio maana kazi zao sio rahisi kupata kama hutokani na syndicate
yao.
Yah wengi ni vijana below 45. Ila wana mawe ya hatari. Hao naowafahamu wanamiliki apartments Kawe kwenye zile flats za NHC kiufupi wamepiga sana hela.
 
Ndio BRICS hio aliwaambia ana mpango wa kuwasaidia kule Moscow sasa wapeleke proposal ianzishwe RUSAID ili wasaidiwe na huko China ianzishwe CHINAID ili iwasaidie kuwamwagia mabilioni ya dolali
😂😂😂😂😂😂 Hio RUSAID haitakaa itokee. Aliewaambia Mrusi ana hela za kutoa bure ni nani?
Kama warusi wangekuwa ni Kabila basi ni "WAPARE"
Kama wachina wangekuwa ni kabila basi ningewaita "WAHA"
 
Inabidi watumie wakichopata kufanya biashara sasa.
Kaka biashara sio rahisi kwa mtu aliyezoea kula kwa kalamu na zoom meeting😁! Bora hata walivyonunua hizo apartments watakulaga kodi.

Mtu kazoea anajichotea hadi 20M kila mwezi. Hapo ni deals nje ya mshahara, kuandaa activity za bosheni😂 anaidhinisha hela anajimegea. Kwa siku matumizi ya mafuta tu Prado J150 inameza sio chini ya 60K kwenda mjini na kurudi hapo hajala wala kutoka out. Mtu wa bia na wana anazamisha almost 150K daily.

Sasa huyo umwambie aitafute hio 20Million tu mtaani si atapagawa?
 
😂😂😂😂😂😂 Hio RUSAID haitakaa itokee. Aliewaambia Mrusi ana hela za kutoa bure ni nani?
Kama warusi wangekuwa ni Kabila basi ni "WAPARE"
Kama wachina wangekuwa ni kabila basi ningewaita "WAHA"
Bahili kweli kweli. Pesa haitoki kirahisi kwao.
 
Kaka biashara sio rahisi kwa mtu aliyezoea kula kwa kalamu na zoom meeting😁! Bora hata walivyonunua hizo apartments watakulaga kodi.
Ni kweli biashara ina mambo mengi na inahitaji kunibana sana sio
rahisi kwa mtu aliyekaa ofisini miaka 10 na zaid akipokea mamilioni
ya pesa.

Hizo Apartment zitawasaidia na wakipata fedha zao wataongeza apartments
nyingine.
 
ARV ziko Zambia, Ziko South Africa kote wana viwanda wanazalisha. Wala wasiwatishe hao dawa zitapatikana japo zitakuwa expensive tu.
Serikali itabidi izitoe kwa bei nafuu au bure kabisa ikibidi.
 
Kuna watu waliumuka vitambi kwa ajili ya hayo mashirika , waliendesha magari mazuri na mishahara minono kwa kuiba hela mashirikani nadhani trump atawanyoosha nyinyi mategemezi
 
Kuna watu waliumuka vitambi kwa ajili ya hayo mashirika , waliendesha magari mazuri na mishahara minono kwa kuiba hela mashirikani nadhani trump atawanyoosha nyinyi mategemezi
Hao majizi ndio yamepanga foleni kumpinga Trump kule USA. Wao nao walikuwa wanafanya uhuni tu wa wafanyakazi hewa na activity hewa kama huku bara la giza tu.

Yani ufisadi kumbe ulikuwa top-down ndio maana Elon Musk kasema shirika la wahalifu lifutwe 😂
 
Back
Top Bottom