pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Nchi ambazo hawapati hiyo misaada ya USAID wanaishije?Kufa Kwa USAID ni kifo Kwa Tanzania.maana condom tutapata wapi?ARV titapata wap?NIMR itakufa kifo Cha mende,Magari waliyokuwa wanatupa tutayakosa na mengine mengi.Kwa kuwa wa afrika hatuna akili ya kujitegemea,inabidi mama yetu aende marekani kumbembeleza trump asilifute hili shirika letu.
ARV na condom kwani haziuzwi?