USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

Screenshot_20250205-134852.jpg
 
Wana Land Cruiser LX nyingi sana ngoja niongee na boss Lady wakiniuzia 3 nakata body natengeneza war bus mwezi June nitapiga kazi Serengeti kama kichaa.
Oooh!..hivi kubadilisha body nyingine inafika gharama kiasi gani ?...
 
Pesa za tax cuts kwa mabilionea lazima zipatikane, lakini Trump hana uwezo wa kuiua USAID , only Congress ndio wanaweza, anaweza freeze funds zao kwa muda na kufukuza wafanyakazi au kufunga operations zao kwa muda tuu
Tatizo congress republican wamedhibiti ...

Labda kama wakiona misaada itapunguza Ushawishi wao kidunia huenda wakifikiria hili upya.
 
Mimi akili yangu inaniambia kuwa mission ya kuanzishwa kwa USAID imekamilika na sasa wanaiondoa.
Kama siyo mission Trump asingeamka from no where na kulifuta. Wameona sensa inaonesha kuwa jamii yetu imeshakuwa chronic tayari kwa matumizi ya ARV na vitu vingine hivyo ni muda muafaka wa wao kupunguza population (rasilimali watu) huku wakipiga pesa zaidi kwa mauzo ya dawa kwa watakaoweza.

Kweli Amerika wametukomoa, ndugu zangu tutaangamia sana kwa hofu.
Umewaza mbali mkuu kuna kaukweli.
 
Inaweza survive lakini ikawa useless, ikapunguza programs na kupunguza wafanyakazi au kwa akili ya Trump na ubaguzi wake akahamishia Ukraine na Israel pesa zote za miradi
Bora asaidie wazungu wenzie kuliko miafrika ambayo sisi kwa sisi hatupendani, viongozi wanawaza kujilimbikizia utajiri huku wananchi wao wanateseka..!! Muache awajali ngozi nyeupe wenzie..!!
 
Pesa za tax cuts kwa mabilionea lazima zipatikane, lakini Trump hana uwezo wa kuiua USAID , only Congress ndio wanaweza, anaweza freeze funds zao kwa muda na kufukuza wafanyakazi au kufunga operations zao kwa muda tuu
Congress yenyewe imejaa machawa wa Trump
 
Pesa za tax cuts kwa mabilionea lazima zipatikane, lakini Trump hana uwezo wa kuiua USAID , only Congress ndio wanaweza, anaweza freeze funds zao kwa muda na kufukuza wafanyakazi au kufunga operations zao kwa muda tuu
Hawezi! Kwa muda sawa anaweza kuzuia lakini siyo kuiua! Maseneta tayari wameshaanza kujipanga kumblock!
 
Kufa Kwa USAID ni kifo Kwa Tanzania.maana condom tutapata wapi?ARV titapata wap?NIMR itakufa kifo Cha mende,Magari waliyokuwa wanatupa tutayakosa na mengine mengi.Kwa kuwa wa afrika hatuna akili ya kujitegemea,inabidi mama yetu aende marekani kumbembeleza trump asilifute hili shirika letu.
Hivi tuna Ujinga kiasi gani??? Yaani nchi hii ife kisa USAiD Shirika la Marekani ambalo wao wameona shirika hilo halina maana wamelifuta sisi tufe kisa nini??? Wewe kwako hapo ukifukuzwa kazi familia yako itakufa?? Hautaenda kununua jembe au uwe kibalua ulishe wanao?? Kwanza hela zenyewe zinaibwa na maandiko meengi ya kishenzi sana na kununua migari mikubwa mikubwa ...
 
Back
Top Bottom