USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

USAID is officially dead.

Elon Musk alisema USAID ni shirika la kihalifu na linapaswa kufa

Kwa taarifa hii ni wazi kwamba kauli yake imetekelezwa

Je ndugu zangu nini itakuwa athari kwa Afrika hususani Tanzania aliyekuwa anaongoza kwa kupokea mafungu huko USAID

View attachment 3225645
Ife tu
Kila mmoja apambane na Hali yake
 
1. Kuna maelfu ya watu wamepoteza ajira.
2. Kuna maelfu ya vendors wamepoteza malipo.
3. Kuna watu wamepoteza mitaji kwa uwekezaji wakitegemea tenda na kadhalika.
4. Kuna wafanya biashara wengi wanaenda kuharibikiwa na vitu walivyo nunua/stock wakijua watatumia kwenye kazi/tenda za mashirika.
5. HIV imeingia katika karibu kila familia na hawa watakua waathirika wakubwa.
Aah bwana eeh hakuna namna
 
Watanzania wanaweza kukesha wakiomba shirika linalojiita la msaada kutoka America lisife wakati huohuo kuna msshirika ya nchi yao yamekufa wala hata hawawazi.
Kiwanda kunaweza kufa ndani ya nchi hii likawa ni jambo la kawaida lakini msshirika haya ya nje yenye kutengeneza matatizo lukuki yakaonekana ni mazuri.
Kwa taarifa zilizopo hili shirika la USAID pesa zake nyingi hutumika kufanya tafiti za silaha za kibaolojia/ bioweapon hasa mataifa ya Asia na afrika.

Waafrika wachache walioajiriwa humo hawajui hili wao ni kufurahia mishahara wakati nyuma ya pazia wale wakuu wao wapo kazini kupambana kudhibiti vizazi na vizazi kwa gharama yoyote hata ikihitajika kuua mamilioni ya wanadamu nje ya nchi yao.
Waafrika tuamke hawa watu hawatupendi bali wanatamani hata leo tusiwepo ili wao waje kuanzisha makaazi huku kwetu.
Punguza ujuaji, walioajiriwa hawajui ila wewe usiye ajiriwa ndio unajuwa hizo bioweapon? Watu wanaumia kwasababu wanajua serikali yetu haina msaada na raia, unadhani ni watu wangapi wapo hatarini kufariki kwa malaria,Tb,Aids pamoja na depression ya kukosa kazi?

Bahati mbaya karibu kila familia bongo inamuathirika, ina ndugu wapo vijijini kwenye malaria huko. Kwahiyo utafurahi zaidi USAID kufungwa ambavyo ndugu zako wakifa kama kuku wenye kideli huku hao wenye serikali yao wakiendelea kutamba tu kwenye mavieite
 
Back
Top Bottom