Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe alikuwa mpigaji tu kama wapigaji wengine, aliwatumia sana nyie mnaojiita wanyonge kupiga pesa huku nyie wanyonge mkishangiliaMagufuli aliwashauri mjitegemee,mkamuona fala mkamuua..
Mama yako yupo bush huko anaparangana na makuni apike chai na mihogo ya kuchemsha apate kifungua kinywa labda km wewe ni Wanu au Abdul nitakuelewa kinyume na hapo pambana na familia yako na ombea usiugue ukimwi awamu hii ya Trump tunakuzika chapuinabidi mama yetu aende marekani kumbembeleza trump asilifute hili shirika letu.
WACHA MVUA INYESHE TUONE PANAPOVUJA😀😀😀😀😀1. Kuna maelfu ya watu wamepoteza ajira.
2. Kuna maelfu ya vendors wamepoteza malipo.
3. Kuna watu wamepoteza mitaji kwa uwekezaji wakitegemea tenda na kadhalika.
4. Kuna wafanya biashara wengi wanaenda kuharibikiwa na vitu walivyo nunua/stock wakijua watatumia kwenye kazi/tenda za mashirika.
5. HIV imeingia katika karibu kila familia na hawa watakua waathirika wakubwa.
Kuna uwezekano Walikua wapigaji wanaoshirikiana na inakopelekwa "misaada".USAID is officially dead.
Elon Mask alisema USAID ni shirika la kihalifu na linapaswa kufa
Kwa taarifa hii ni wazi kwamba kauli yake imetekelezwa
Je ndugu zangu nini itakuwa athari kwa Afrika hususani Tanzania aliyekuwa anaongoza kwa kupokea mafungu huko USAID
View attachment 3225645
Mimi napambana nichukue Nchi ili niwakomboe ninyi zero minus 10=-10.Mama yako yupo bush huko anaparangana na makuni apike chai na mihogo ya kuchemsha apate kifungua kinywa labda km wewe ni Wanu au Abdul nitakuelewa kinyume na hapo pambana na familia yako na ombea usiugue ukimwi awamu hii ya Trump tunakuzika chapu
Bibi yenu mpenda vya Bure!Kuna uwezekano Walikua wapigaji wanaishirikiana na inakopelekwa "misaada".
Siamini kama **** msaada wa bure bure kutoka kwa wamagharibi, tunakaangwa kwa mafuta yetu.
Uomba omba umetuponza sana.
Trump kawanyoosha Waafrika wanaochukua pesa za Wamarekani wanapewa misaada kisha hawasemi km hizo pesa wamepewa na Wamarekani vyote wanajisifu wamefanya kwa pesa zao za kodi au za kukopa sasa ngoja tuone hilo gap litafukiwajwe1. Kuna maelfu ya watu wamepoteza ajira.
2. Kuna maelfu ya vendors wamepoteza malipo.
3. Kuna watu wamepoteza mitaji kwa uwekezaji wakitegemea tenda na kadhalika.
4. Kuna wafanya biashara wengi wanaenda kuharibikiwa na vitu walivyo nunua/stock wakijua watatumia kwenye kazi/tenda za mashirika.
5. HIV imeingia katika karibu kila familia na hawa watakua waathirika wakubwa.
Unapambana kwa ajili ya Nchi au kwa ajili ya Ukoo wako? Nitolee pumba zako unaacha kumsifia mama yako aliekuzaa unakaa kuwasifia mama wa wengine wewe hata kwenye minus 10 haupo ni huna akili lini ulikaa ukamsifia mama yako alieenda kulia kule leba ili utoke tumboni kwake?Mimi napambana nichukue Nchi ili niwakomboe ninyi zero minus 10=-10.
Kabisa hata shirika la kirusi/china sijawai liona.Urusi na china hawanaga hizo hela za kugawaaa.
Ndio BRICS hio aliwaambia ana mpango wa kuwasaidia kule Moscow sasa wapeleke proposal ianzishwe RUSAID ili wasaidiwe na huko China ianzishwe CHINAID ili iwasaidie kuwamwagia mabilioni ya dolaliKabisa hata shirika la kirusi/china sijawai liona.
Oya sio powa hivi condom nazo ni msaada ?Wale wapenda ngono unaloweka alafu unakimbilia kabla ya 72 hour kumeza ARVs sasa kwishnei! Ngonoreka upate miwaya tukufukie!
Wafe tu tuanze na moja na kuna wengine wanafuata kufaUSAID inakufa na mashirika mengi IRC, ICAP, AMREF, n.k
Vilio ni vingi sana
Kweli wewe ni zero minus 10Unapambana kwa ajili ya Nchi au kwa ajili ya Ukoo wako? Nitolee pumba zako unaacha kumsifia mama yako aliekuzaa unakaa kuwasifia mama wa wengine wewe hata kwenye minus 10 haupo ni huna akili lini ulikaa ukamsifia mama yako alieenda kulia kule leba ili utoke tumboni kwake?
Binadamu mna roho ya korosho sana aseeHatimaye Kodi za apartment na ushindani wa mademu unaenda kuwa level Sasa.
Najua kuonyesha hawajaumia wengi wataanza kutumia akiba zao vibaya ili kumaintain status na ndio njia itakayowamaliza mapema zaidi.
Minus 10 tena ndio ujue nina akili zaidi yako umekaa hapo lini umemsifia mama yako aliekuzaa? HujuiKweli wewe ni zero minus 10