USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

Hatimaye Kodi za apartment na ushindani wa mademu unaenda kuwa level Sasa.

Najua kuonyesha hawajaumia wengi wataanza kutumia akiba zao vibaya ili kumaintain status na ndio njia itakayowamaliza mapema zaidi.
Nawafahamu watu wangu flani wa AMREF na MDH waliokuwa wanasomesha watoto wa ada za million 18 kila mwaka. Wakipeleka watoto USA vacation Disney Land kila December. Kuna namna itawabidi waadjust mfumo wao wa maisha.
 
Dah this is big loss aisee.
 
US hawezi kulipa mishahara kama ya Tanzania , wana standard zao, na sio pesa nyingi kwao, mishahara mingi ya USAID ni chini ya low minimum wage in US
Kama Low minimum wage ya US ndio zile million 10 walizokuwa wanalipana kina nanii kwenye hayo Ma NGO na overtime za laki laki basi nadhani USAID ilikuwa na manufaa sana kwetu.

Tanzania taasisi gani itakulipa Million 10 na marupurupu kibao kabla hujafikisha miaka 30 kazini na je zipo ngapi hizo taasisi za kiserikali? Hapo unakuta age unaitafuta 60 ndio walau unalipwa million 6 kwa mwezi.
 
Sio mchezo watu walivuna pesa mkuu, na bado walikuwa ni vijana.

Na ndio maana kazi zao sio rahisi kupata kama hutokani na syndicate
yao.
 
Jiwe alikuwa mpigaji tu kama wapigaji wengine, aliwatumia sana nyie mnaojiita wanyonge kupiga pesa huku nyie wanyonge mkishangilia
Kuna msemo wa kiswahili ule, "Ukila na kipofu usimshike mkono" . Nadhani Magufuli aliishi vizuri hio falsafa.

Maendeleo alifanya na yalioonekana ni mengi ambayo hata watangulizi wake walichemka kufanya. Huduma za kijamii zilikuwa intact watu walikuwa wako responsible hospitali mpaka maofisi ya serikallini.

We don't care raisi awe mwizi au fisadi but as long as he/she takes charges of responsibilities and act right sie hatuna shida. Sio mambo yako hobela hobela halafu mtu anashabikia upumbavu.
 
Jana naona Azam TV ilifika kwenye ofisi za MDH hawakutaka kuzungumza

Ila ofisi zao zilikuwa zimegungwa na kwa simu hawataki kuzungumza.
 
Back
Top Bottom