Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Yall dont have plan B, never had one. Ninsuala la muda mtakuwa exposed vibayaYeah we have pln B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yall dont have plan B, never had one. Ninsuala la muda mtakuwa exposed vibayaYeah we have pln B
Ikishindikana tutahamisha wakurya huko serengeti tuuze tufidie .we have nothing to lose bro.Yall dont have plan B, never had one. Ninsuala la muda mtakuwa exposed vibaya
Ninazo kumi nimeziweka stoo miaka ya 2010 nilikuwa natumia maana maisha yalikuwa magumu Ila sahivi ni kununua tuZile chandarua za bure tulizokua tunafugia kuku bye bye
Sasa hivi wanaenda kumchukia Trump kwa kuwakatia mirija yao ya asali kama ambavyo walimchukia Magufuli kipindi kile anabinya mianya yao ya ufisadi.Hasa hao Wizara ya Afya na Tamisemi yatakuwa yamenuna kwa
sababu walikuwa ni wanufaika wakubwa pia wa posho za USAID
🤣🤣 kwa viongoz hawa ingekuwa rahisi hivyo wangeshafanya. Problem is wana operate kwa matukioIkishindikana tutahamisha wakurya huko serengeti tuuze tufidie .we have nothing to lose bro.
Duuh kwahiyo wale waajiriwa wote waliyokuwa wanapitia Tamisemi ndio hawana kazi Tena? Kazi IPO Tena kubwa .ndiyo
..nao panga limeshawapitia
Sawa mnyonge nimekuelewa vizuri kabisaKuna msemo wa kiswahili ule, "Ukila na kipofu usimshike mkono" . Nadhani Magufuli aliishi vizuri hio falsafa.
Maendeleo alifanya na yalioonekana ni mengi ambayo hata watangulizi wake walichemka kufanya. Huduma za kijamii zilikuwa intact watu walikuwa wako responsible hospitali mpaka maofisi ya serikallini.
We don't care raisi awe mwizi au fisadi but as long as he/she takes charges of responsibilities and act right sie hatuna shida. Sio mambo yako hobela hobela halafu mtu anashabikia upumbavu.
Hata kama kuna mazuri alifanya lakini kama ni mwizi lazima asemwe kama mwiziSema lolote ila aliweza mengi mazuri kuyafanya.. Hata kama unasema aliiba basi alikuwa smart sanaaaa hakunaga kutokea nchini..
Bado ni bingwaaaa eti? 😂
Ndio zimeyeyuka hivyo, mishahara ilikuwa inatoka kwao sasa hawapo tena unafikiriDuuh kwahiyo wale waajiriwa wote waliyokuwa wanapitia Tamisemi ndio hawana kazi Tena? Kazi IPO Tena kubwa .
Hatar sana mkuu.Ndio zimeyeyuka hivyo, mishahara ilikuwa inatoka kwa sasa hawapo tena unafikiri
watabaki.
Kuna wizi wa kutisha serikalini uliowahi kufanyika huko nyuma kama huu unaofanyika awamu hii ya sita?Hata kama kuna mazuri alifanya lakini kama ni mwizi lazima asemwe kama mwizi
Ku keep status ni jambo muhimu...siwezi muhamisha mtoto wangu kutoka Feza kisa kibarua kimeota nyasi.Hatimaye Kodi za apartment na ushindani wa mademu unaenda kuwa level Sasa.
Najua kuonyesha hawajaumia wengi wataanza kutumia akiba zao vibaya ili kumaintain status na ndio njia itakayowamaliza mapema zaidi.
Hahahaha kama uliwekeza vitega uchumi vyako kadha wa kadha vinavyokulipa zaidi ya ule mshahara utaendeleza status vizuri tu wala hakutakuwa na tofauti.Ku keep status ni jambo muhimu...siwezi muhamisha mtoto wangu kutoka Feza kisa kibarua kimeota nyasi.