cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Kuna watu walinifuata PM wakaniita mchochezi eti naharibu mambo ya watu 😃
Mkuu uliangalia mbali sana! Nimefanya na USAID, wenyewe huku US imewaumiza sana! Ilijisahau mno, ikawa ianafanya miradi kama itavyo yenyewe, na kusahau ni pesa ya kodi za Wamarekani! Miradi mingi haikuwa na hata baraka za serikali! Na wengu huku US ndio walikuwa wafaidika wakubwa!