22 September 2020
Njombe, Tanzania
Shirika la Misaada la Kimataifa la Marekani USAID ambao ni wadau wa maendeleo wa serikali ya Tanzania wameandaa semina juu ya Afya ya Mama na Mtoto mkoani Njombe uliopo nyanda za juu kusini nchini Tanzania.
Mradi huo umejikita kuondoa udumavu wilaya ya Wangingombe mkoani Njombe ambapo kuna idadi kubwa ya watoto wenye udumavu.