Usaidizi kwa tuliomaliza vyuo vya Ualimu kama tunaenda JKT

Usaidizi kwa tuliomaliza vyuo vya Ualimu kama tunaenda JKT

pameza

Member
Joined
May 25, 2015
Posts
5
Reaction score
2
Jamani nilikuwa naomba msaada kama Na sisi JKT inatuhusu tuliomaliza vyuo vya Ualimu Na kama kuna mtu alisomea pale Chuo cha Ualimu Singida ajitokeze
 
Jamani nilikuwa naomba msaada kama Na ss jkt inatuhusu tuliomaliza vyuo vya Ualimu Na kama kuna mtu alisomea pale Chuo cha Ualimu singida ajitokeze
hivi wewe hujui hili ni jukwaa gani? kama mwalimu upo hivi wanafunzi watakuwaje?
 
Sikia wewe acha dhalau za kisenge poah kwan umu hamna mtyu aneweza nisaidia@nguvu
 
Nilikuwa naomba kufahamishwa kama tuliomaliza vyuo vya Ualimu kuhusu kwenda jeshi then kama kuna mtu alimalizia Chuo cha Ualimu singida naomba anitafute
 
Sikia wewe acha dhalau za kisenge poah kwan umu hamna mtyu aneweza nisaidia@nguvu
Mkuu busara ni kitu cha bure,
Tulia uelekezwe, hili ni jukwaa la michezo hivyo hujaa hii ungeipeleka jukwaa la Elimu ingependeza
 
Athante xna boi coz uyo jamaa dharau analeta za nn hajui kama kuna kukosea o he's a perfect??@mikataba
 
Sikia wewe acha dhalau za kisenge poah kwan umu hamna mtyu aneweza nisaidia@nguvu

Mwalimu gani wewe? Kuandika hujui, kiswahili hujui, unaleta matusi tu humu. Wewe bora wakupeleke huko JKT ukae huko huko maisha yako yote ulime mashamba tu usiende kutuharibia watoto bure.
 
wanaweza kwenda kwan hii nchi haiko makin xo jiandae maana hata wa mwaka jana ilikuwa haielewek
 
nenda jukwaa la elimu utasaidiwa huku habari ya mjini ni yanga kuipiga bao simba, Malimi Busungu kasaini.......
 
Athante xna boi coz uyo jamaa dharau analeta za nn hajui kama kuna kukosea o he's a perfect??@mikataba
Hivi kweli wewe una sifa ya kuwa mwalimu!!!
Halafu humu jf hatuandika kitoto kitoto kama fb! Athante, xna, boi, ndio nini? Peleka jukwaa la elimu huu uzi wako hapa umepotea njia.
 
Hahahahahahahahaha we unajua kuandika Na ntakuja nikufundishe mwandiko chapa naona waandika mwandiko wa kuunga nwalimu wako wa darasa LA kwanza sijui alikuwa nani ... . Ref your status u have written above and correct it.. nguvu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahaha we unajua kuandika Na ntakuja nikufundishe mwandiko chapa naona waandika mwandiko wa kuunga nwalimu wako wa darasa LA kwanza sijui alikuwa nani ... . Ref your status u have written above and correct it.. nguvu

Mmmh.... this time tomorow utakapokuwa unafundisha sijui itakuaje.....?
 
Back
Top Bottom