😂 😂 😂 😂 😂 😂Mke atakufanya uwe millionea Kama we bilionea
Unamanisha kuwa na mke usipate changamoto kwa mafanikio yako? Au mke mlango wa 8!? Au sijakuelewa
😄😄😄😄! Labda hukua na imani! Lazima mfilisike maana hadi sukari washirika wanachanga unapelekwa mfuko mzima ..sijui kitambaa cha suti cha baba mchungaji cha bei ya juu anunuliwe...24/7 unashinda kanisani..hutaki kufanya kazi huo utajiri unapitia mlango gani? Kila kitu na kiasi mkuu!Teh...mlango wa 8! ila mlango wa 4 ndio hatari zaidi.
Mimi nilifilisika baada ya kuokoka, nitakuwa kundi lipi?
😄😄😄😄! Labda hukua na imani! Lazima mfilisike maana hadi sukari washirika wanachanga unapelekwa mfuko mzima ..sijui kitambaa cha suti cha baba mchungaji cha bei ya juu anunuliwe...24/7 unashinda kanisani..hutaki kufanya kazi huo utajiri unapitia mlango gani? Kila kitu na kiasi mkuu!
Safi sana..zaka ni muhimu sana! Kwanini unaona ulifirisika sasa!?Hahaha Aisee...
Imani nilikuwa nayo kali sana, na vile nilikuwa nimeasi ibada kwa kitambo yale mafundisho yalikuwa yananiingia kweli! Nilikuwa sikosi kila siku, na ule mkazo wa kutoa fungu la kumi nilikuwa nazingatia sana.
Safi sana..zaka ni muhimu sana! Kwanini unaona ulifirisika sasa!?
Hilo swali nimekosa jibu lake hadi sasa,
Sijajua kwa nini mkuu.
Jipepeleze udhaifu wako mkuu hiwezi sema huelewi..acha kuidanganya nafsi yako!jiambie ukweli!
Teh.. ukweli unaweza kunirudisha kule nilipokuwa. beast..
Ila hakika naiona raha ya wokovu.
Unakuta mambo hayaendi ukiwa naye. Pia kuna mke mwingine hata akikaa kwa ofisi mambo yanaenda vizuri! Hii ipo kweli au ni dhana tuu.
Unaweza eleza kidogo ndugu. Na njia ya kutatua kwa yule atakaye kutana na mke wa mtindo huu au mumeIpo mkuu! Ndo wanaita mwanamke wa mlango wa 8!
Naamini na kwa waume ipo..nadhan itaitwa mwanaume wa mlango wa 1!mambo hayaendi vululu vululu
Mke atakufanya uwe millionea Kama we bilionea