Usaidizi wa mwanamke katika Biashara

Usaidizi wa mwanamke katika Biashara

Adolfms

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
542
Reaction score
835
Ndugu zangu poleni na majukumu. Naomba mwenye kujua kama kuna nadharia ya mafanikio ya kibiashara juu ya mke wako.

Hivi kweli kuna mke ukiwa naye unaweza kufanikiwa pasipo usumbufu mkubwa au waweza usifanikiwa ukiwa na aina ya huyo mke. Karibuni wa juvi.
 
Unamanisha kuwa na mke usipate changamoto kwa mafanikio yako? Au mke mlango wa 8!? Au sijakuelewa
 
Teh...mlango wa 8! ila mlango wa 4 ndio hatari zaidi.

Mimi nilifilisika baada ya kuokoka, nitakuwa kundi lipi?
😄😄😄😄! Labda hukua na imani! Lazima mfilisike maana hadi sukari washirika wanachanga unapelekwa mfuko mzima ..sijui kitambaa cha suti cha baba mchungaji cha bei ya juu anunuliwe...24/7 unashinda kanisani..hutaki kufanya kazi huo utajiri unapitia mlango gani? Kila kitu na kiasi mkuu!
 
Hahaha Aisee...

Imani nilikuwa nayo kali sana, na vile nilikuwa nimeasi ibada kwa kitambo yale mafundisho yalikuwa yananiingia kweli! Nilikuwa sikosi kila siku, na ule mkazo wa kutoa fungu la kumi nilikuwa nazingatia sana.
 
Safi sana..zaka ni muhimu sana! Kwanini unaona ulifirisika sasa!?
 
Unakuta mambo hayaendi ukiwa naye. Pia kuna mke mwingine hata akikaa kwa ofisi mambo yanaenda vizuri! Hii ipo kweli au ni dhana tuu.

Ipo mkuu! Ndo wanaita mwanamke wa mlango wa 8!
Naamini na kwa waume ipo..nadhan itaitwa mwanaume wa mlango wa 1!mambo hayaendi vululu vululu
 
Ipo mkuu! Ndo wanaita mwanamke wa mlango wa 8!
Naamini na kwa waume ipo..nadhan itaitwa mwanaume wa mlango wa 1!mambo hayaendi vululu vululu
Unaweza eleza kidogo ndugu. Na njia ya kutatua kwa yule atakaye kutana na mke wa mtindo huu au mume
 
Back
Top Bottom