Usaidizi wa Paypal

SirAlfred006

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
517
Reaction score
1,243
Mabibi na mabwana, wakubwa kwa wadogo nawasalimu hamjambo?

Ninao ujumbe huu kwa yeyote aliye Tanzania na anakwazika na kupakua hela zake kutoka mtandao wa malipo, PayPal.

Nipo tayari kutumia muda na rasmali zangu chache kukupakulia kwa muunganisho na mpesa kisha nikakutumia wewe.

Yote haya kwa percentage flani ya kiwango kinachopakuliwa.


Uaminifu ndio ngao yangu.

Mwambie Mwenzio.
 
Utahitajika kujisadili rasmi na mtandao wa Safaricom kwa kutumia kitambulisho chako cha kitaifa.
 
Njoo DM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…