Umebakiwa na akili ndogo sana ya ziada na ndo hiyo unayoitumia kupost huo uchafu. aibu yako
such people`s existence prove there is still hope for humanity...Hawa ndio wachonganishi wanaochezea karama zao walizopewa na mungu kuleta misuguano ndani ya jamii...jambo ambalo hata mbele za mungu ni kosa...katembo usanii ni zaidi ya unavyofikiri nenda kasome ethics za drawing...
Habari Zenu Wana JF.
Kwa Wale Walioisoma Hii KATIBA PENDEKEZWA Na Wakaelewa Kabisa Tunaomba UCHAMBUZI Japo Kidogo Kwanzia Sehemu Ya Kwanza Na Sura Zake Hadi Sehemu ya Mwisho
Please Alielewa Zaidi Atupatie SHORT SUMMARY Maana Hata Darasani Kuna Wanaoelewa Kidogo Na Wengine Zaidi.
MWASI MWAKENDA NA WENGINE (Usaidizi wenu plz)
Nawasilisha