Usail utumishi majibu vp nimeshindwa kuwaelewa arusha!!!!!

mabwepand

Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
86
Reaction score
22
Hello wandugu jana wengi wa uaili utumishi walianza usail wa maandishi(mtihani) ila kutoa matokeo nimechoka na stail yao kuwa watawapigia simu walioshinda,kwann wasitoe majibu kwenye website yao au ya walengwa ili iwe rahisi kwa kila mtu kuona au kama kawaida ya Tanzania(technical know who),Badilikieni
 
Daah! Mkuu pole sana, pia mim yalishanikuta kwenye interview yao moja.....ila nikweli hawajamaa wa utumishi hiyo stail yao cyo fair kabisa wangetakiwa hayo majina yanayopita kwenye mchujo wayarushe kwenye webste yao au wayabandike pale pepa ya written ilipopigiwa.
 
Hombolo-DODOMA naambiwa walibandikiwa matokeo yao ndo maana hakuna malalamiko kutoka huko kiongozi tujiandae na ile ya NHIF-DAR.
 
interview ya arusha majibu walisema watapigiwa simu waliofaulu written then wataendelea na oral, walipigia watu simu the same day on friday, japokuwa kwa post ya nuclear scientific research written interview cjui walikuwa na lengo gani na candidates mtihani ulikuwa wa ajabu ajabu kwa wengi
 
Hello wandugu jana wengi wa uaili utumishi walianza usail wa maandishi(mtihani) ila kutoa matokeo nimechoka na stail yao kuwa watawapigia simu walioshinda,kwann wasitoe majibu kwenye website yao au ya walengwa ili iwe rahisi kwa kila mtu kuona au kama kawaida ya Tanzania(technical know who),Badilikieni
sasa wewe ndugu kama ujapigiwa simu,we elewa ure unsucessfulll candidate,sasa mbona unalalama kama binti,jiulize kama wewe ndo ungepigiwa simu kwa ajili ya oral interview sijui ungeandika hii thread
nyie ndo mpaka makazini mnakuwa walalamishi mnahisi mnaonewa,hebu jirekebishe mkuu , i wish one day u will be a great thinker not great sinker
 
inawezekana ni binti mkuu
 
Back
Top Bottom