Murtapha68
Member
- Feb 20, 2022
- 58
- 40
Wakuu kwa mwenye uzoefu au ufahamu kuhusu writen interview ya bot kwa kada ya
Bank officer III atusaidie walau tujue kwa kuanzia
Bank officer III atusaidie walau tujue kwa kuanzia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kiukweli mimi hua nawashangaa sana vijana GenZ wa kitanzania.....Wakuu kwa mwenye uzoefu au ufahamu kuhusu writen interview ya bot kwa kada ya
Bank officer III atusaidie walau tujue kwa kuanzia
Upo sahihi lakn kama huna Cha kujibu ni Bora ukabaki kimya mkuuLakini kiukweli mimi hua nawashangaa sana vijana GenZ wa kitanzania.....
Yaani mtu kweli umesomea kitu flani, then unakuja kuomba namna hadi ya kufaulu usahili...🤔
Hivi hamuoni haya...??
Basi omba namna ya kusaidiwa uipate nafasi kwakua ushindani ni mkubwa, ila hakikisha unafaulu usahili.
Mimi kiukweli sijawahi na sinto wahi kumsaidia mtu kwenye position ambayo hata ukimuweka hawezi kuitendea haki.. bladi hell....☹️
Misiwezi nikakaa kimya kwa vijana wanao fanya na kuendekeza ujinga wa kutaka kusaidiwa kila kitu utadhani wana ulemavu....☹️Upo sahihi lakn kama huna Cha kujibu ni Bora ukabaki kimya mkuu
Lakini kiukweli mimi hua nawashangaa sana vijana GenZ wa kitanzania.....
Yaani mtu kweli umesomea kitu flani, then unakuja kuomba namna hadi ya kufaulu usahili...🤔
Hivi hamuoni haya...??
Basi omba namna ya kusaidiwa uipate nafasi kwakua ushindani ni mkubwa, ila hakikisha unafaulu usahili.
Mimi kiukweli sijawahi na sinto wahi kumsaidia mtu kwenye position ambayo hata ukimuweka hawezi kuitendea haki.. bladi hell....
Humu jamii forum Kuna threads ngapi watu Huwa wanauliza kuhusu updates za interviewMisiwezi nikakaa kimya kwa vijana wanao fanya na kuendekeza ujinga wa kutaka kusaidiwa kila kitu utadhani wana ulemavu....☹️
Huu Uzi umeupitia mkuu au unashida binafsi humu discussion ni nin kama sio kusaidiana interviewMisiwezi nikakaa kimya kwa vijana wanao fanya na kuendekeza ujinga wa kutaka kusaidiwa kila kitu utadhani wana ulemavu....☹️
Pole Mkuu!Humu jamii forum Kuna threads ngapi watu Huwa wanauliza kuhusu updates za interview
Uzi wangu umekukera nini mkuu mpaka kuniita mtu wa ovyo broh tafadhali kama huna Cha kuchangia kaa kimya
Asante sana ubarikiwe mkuuPole Mkuu!
Umeuliza na kutafuta msaada vema kabisa.
Lakini usiumie kwa baadhi ya watu kulijibu vibaya! Dunia hii Ina aina nyingi za wanadamu.
Kikubwa ni kuwajua na kukubali kuishi nao jinsi walivyo ... Mtu mmoja aliwahi kusema "Kama huwezi kumsaidia mtu, hakikisha humuumizi pia"
All the Best katika interview yako!
Mungu akufanikishe katika jambo hili!
Sikujui ila nitakuweka katika maombi na sala zangu!
Usivunjike moyo!