Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi?

Hii imekuwa unyanyasaji mkubwa Kwani maelfu walituma maombi ila ewura wamepiga kimya au walishaajiri? Tunaomba majibu
 
Muda pekee ilikua unapata kazi kwa uwezo wako ulishapita. Sasa tumerudi kama zamani, watu wanatekeleza tu wajibu, hamna kazi hapo mkuu!
 
B75EF783-B19F-41F9-8F4E-1E6173FEF910.jpeg
 
Back
Top Bottom