USAILI(INTERVIEW): Cheka kidogo na hii.

USAILI(INTERVIEW): Cheka kidogo na hii.

Mwendo Kasii

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
203
Reaction score
212
Mwelevu na Mjinga walienda ktk usaili, walipofika kabla hawajaingia wakakubaliana aanze Mwerevu kisha akitoka ampe majibu Mjinga ili wote wapate kazi.

Basi Mwelevu akaingia na maswali yakawa hivi:-
Msaili:- Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani?
Mwelevu:- ilitakiwa iwe mwaka 1960 ila ikasogezwa mpaka 1961 kutokana na sababu mbalimbali..

Msaili:- Nani hasa alihusika na upatikanaji wa Uhuru huo?
Mwelevu:- Kuna watu wengi walihusika ila Mwl. J.K. Nyerere ndiye alikuja kumalizia.

Msaili:- Inasemekana ktk sayari ya Mars kunaviumbe wanaishi, je ni kweli?
Mwelevu:- Watu wengi wanasema hivyo lakini haijathibitishwa na wanasayansi.

Baada ya Mwelevu kutoka basi Mjinga akapewa majibu yote..
Kuingia ktk usaili maswali yakawa hivi:-

Msaili:- Tuambie ulizaliwa mwka gani?
Mjinga:- Ilitakiwa iwe mwaka 1960 ila ikasogezwa mbele mpaka mwaka 1961 kutokana na sababu mbali mbali.

Msaili:- Mungu Wangu, BABA yako anaitwa nani?
Mjinga:- Kuna watu wengi walihusika ila Mwl. J. K. Nyerere ndiye alikuja kumalizia .

Msaili:- Hivi wewe ni chizi?
Mjinga:- watu wengi husema hivyo lakini haijathibitishwa na wanasayansi.

Msaili akabaki hoiiiiii
 
Ya zamaniiiiii[emoji53][emoji53][emoji53]
 
siwezi shangaa kwani....A PERSON WHO NEVER MADE MISTAKES, NEVER TRIED ANYTHING NEW .
 
Huyo mwelevu naye ni mjinga. Tanzania bado hainapata uhuru mpaka sasa hivi.
Iliyopata uhuru ni Tanganyika na Zanzibar
 
Back
Top Bottom