washaanza kozi ??KUMEKUCHA HUKO UT
Kunani??KUMEKUCHA HUKO UT
Kuna Bogi jingine kwani!? Au ndo mpka badae sanaUT warudi lini kuchukua wengin ?
Hawa jamaa soon wanarudi kukomba raia wengineKuna Bogi jingine kwani!? Au ndo mpka badae sana
Dadeki Mimi hadi nishachokagaHawa jamaa soon wanarudi kukomba raia wengine
HbrWacha tusikilizie sasa mkuu siungepambana nae huyo akupenyeze
Lete report mkuu
Tayari hukomwenye dondoo majina ya waliofanya usaili uhamiaji 2025 yanatoka lini?