jamila odo
New Member
- Jan 16, 2012
- 4
- 0
[FONT=book antiqua, palatino]Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatangazia waombaji wa fursa za ajira kuwa tarehe za usaili kwa mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Pwani, Morogoro, Dar es Salaam itapangwa baadaye kama ilivyokuwa imeelekezwa katika tangazo la kuita waombaji kazi waliokidhi vigezo lenye Kumb. Na. EA.7/96/01/C/49 la tarehe 21 Septemba, 2012.[/FONT]
[FONT=book antiqua, palatino]
[FONT=book antiqua, palatino]
Hivyo waliochaguliwa kufanya usaili waendelee kujiandaa.
[/FONT][FONT=book antiqua, palatino]
[/FONT][FONT=book antiqua, palatino]
[/FONT]