Usaili kwa mikoa ambaya haijapatiwa tarehe na mahali pa usaili

Usaili kwa mikoa ambaya haijapatiwa tarehe na mahali pa usaili

jamila odo

New Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
4
Reaction score
0
[FONT=book antiqua, palatino]Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatangazia waombaji wa fursa za ajira kuwa tarehe za usaili kwa mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Pwani, Morogoro, Dar es Salaam itapangwa baadaye kama ilivyokuwa imeelekezwa katika tangazo la kuita waombaji kazi waliokidhi vigezo lenye Kumb. Na. EA.7/96/01/C/49 la tarehe 21 Septemba, 2012.[/FONT]





[FONT=book antiqua, palatino]
Hivyo waliochaguliwa kufanya usaili waendelee kujiandaa.

[/FONT]
[FONT=book antiqua, palatino]
[/FONT]
[FONT=book antiqua, palatino]
[/FONT]
 
asante ila hayaa c walieleza ktk tangazo lao au dada angu ndio umesoma leo hichi kipengele..
 
Back
Top Bottom