usaili sekretarieti ya ajira wa oktoba 1-5 mikoani wameita?

usaili sekretarieti ya ajira wa oktoba 1-5 mikoani wameita?

Mzanzibar

Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
36
Reaction score
2
nataka jua kwani walisema wataita baada ya mwezi mwenzio nipo shamba nipeni taarifa
 
nataka jua kwani walisema wataita baada ya mwezi mwenzio nipo shamba nipeni taarifa

Mdau jibu ni kwamba bado hawajaita mpaka sasa sijui tatizo ni nini maana tuliambiwa wataita baada ya wiki mbili na mpaka leo ni mwezi mmoja na siku tatu!
 
mbona tumeishafanya?imefanyika tarehe 29-30 Oct 12!poleni,kama hamuamini bofya website ya Ajira
 
mbona tumeishafanya?imefanyika tarehe 29-30 Oct 12!poleni,kama hamuamini bofya website ya Ajira

Mdau anaulizia kuitwa kazini na sio kuitwa kwa ajili ya intervie! Nafikiri fabinyo haukumuelewa mtoa maada!
 
Back
Top Bottom