Usaili St. John's University

pufray

Member
Joined
Nov 2, 2011
Posts
10
Reaction score
0
Jamani wadau,naomba kufahamishwa kama St john university dom walishaita waombaj kwenye interview...Ntashukuru kwa msaada!
 
Niliomba Administrative officer mkuu .Wakiita 2peane taarifa humu ndani basi!
 
Mi nlishasahau hata ka nlituma maombi nkajua watu washaanza mzigo kumbe bado? Acha niendelee kupiga goti.
 
Mi nlishasahau hata ka nlituma maombi nkajua watu washaanza mzigo kumbe bado? Acha niendelee kupiga goti.
mkuu tupo pamoja hata mm niliomba nafasi huko, tujulishane.
 
Nishasahau kama niliomba ass tuta ila poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…