Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wadau,naomba kufahamishwa kama St john university dom walishaita waombaj kwenye interview...Ntashukuru kwa msaada!
Niliomba Administrative officer mkuu .Wakiita 2peane taarifa humu ndani basi!
mkuu tupo pamoja hata mm niliomba nafasi huko, tujulishane.Mi nlishasahau hata ka nlituma maombi nkajua watu washaanza mzigo kumbe bado? Acha niendelee kupiga goti.