Usaili TRA ni lini?

Usaili TRA ni lini?

HATA MAJINA YA KUITWA BADO UNAULIZIA INTERVIEW LAKINI NNAHISI MWEZI HUU WA TATU HAUTAISHA ITAKUWA USHAITWA KWENYE INTERVIEW JIANDAE TU MUNGU ATAKUSAIDIA NA HII KWA RESMA KM WW CHRISTIAN NA KM MUISLAMU KUNA RAMADHANI MUOMBE SANA MUNGU WAKO KWA UWEZO WAKE UTAFANIKIWA KWANI HII NI MIEZI YA BARAKA KUBWA UKIFUNGA NA KUOMBA HAKUNA LITAKALOSHINDIKANA
 
Hizi ajira ni kwajili ya graduates wanaojitolea (volunteering) kwenye ofisi za TRA na wale wenye connection, nje ya hapo nafasi chache zitatolewa kwa wengine

Zamani haya mambo yalibanwa kwa chombo kimoja cha utumishi kusimamia ajira zote, sikuhizi taasisi nyingi zinajisimamia kwenye ajira
 
USIWAKATISHE WATU TAMAA WAACHE WAJIANDAE KWA INTERVIEW KM RIZIKI YAO WATAPATA MIMI KUNA MTU NNAMFAHAMU ALIPATA KAZI TRA NA HAKUNA MTU ANAMJUA HAPO TRA MNAOMBA WATU 3000 WANAHITAJIKA 150 NIKUOMBA TU MUNGU
 
Hizi ajira ni kwajili ya graduates wanaojitolea (volunteering) kwenye ofisi za TRA na wale wenye connection, nje ya hapo nafasi chache zitatolewa kwa wengine

Zamani haya mambo yalibanwa kwa chombo kimoja cha utumishi kusimamia ajira zote, sikuhizi taasisi nyingi zinajisimamia kwenye ajira
Wapo wanaojitolea mwishowe hawatoboi vilevile.
 
na kuna waliopata hawajawahi kujitolea baadhi ya watu wanapenda kuwakatisha wenzao tamaa kuna jamaa alishafanya interview mpk za utendaji kata na alikosa zikaja kutoka nafasi kubwa zaidi bank wanahitajika watu wachache sana watu wakawa wanamwambia hzo ofisi hupati huna ndugu jamaa kajaribu kapata,kwahyo wanaokatisha tamaa ni wengi sana jiandae kwa interview huku unamuomba sana mungu atafungua njia
 
Amina
 
ivi ajira zilizotangazwa January mwaka huu, MDA&LGAs usaili unaweza kuwa mwez wa ngapi zile 465
 
Hizi ni zile za mwqka jana mwez wa 8, namaanisha za mwaka huu January
 
ivi ajira zilizotangazwa January mwaka huu, MDA&LGAs usaili unaweza kuwa mwez wa ngapi zile 465

usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 17-03-2025 hadi 29-03-2m

ivi ajira zilizotangazwa January mwaka huu, MDA&LGAs usaili unaweza kuwa mwez wa ngapi zile 465
Mara nyingi MDA & LGAs wanachukua muda kidogo, nadhani pia wanaenda awamu kwa awamu. Kuna walioomba mwaka jana August na bado hawajaitwa kufanya usaili.
 
HATA MAJINA YA KUITWA BADO UNAULIZIA INTERVIEW LAKINI NNAHISI MWEZI HUU WA TATU HAUTAISHA ITAKUWA USHAITWA KWENYE INTERVIEW JIANDAE TU MUNGU ATAKUSAIDIA NA HII KWA RESMA KM WW CHRISTIAN NA KM MUISLAMU KUNA RAMADHANI MUOMBE SANA MUNGU WAKO KWA UWEZO WAKE UTAFANIKIWA KWANI HII NI MIEZI YA BARAKA KUBWA UKIFUNGA NA KUOMBA HAKUNA LITAKALOSHINDIKANA
Mwezi wa tatu mbona ushafika nusu sas,
 
Majina haya Apa
Asante boss, lakini mbona hayajakamilika kuna kama mimi niliomba Tax Management Assistant II,Costomer servive Officer II. Hizo hapo kwenye documents hazipo. nimeshindwa kujua kama nipo au sipo. Naomba sana mrejesho ili niwe na taarifa ndani ya Muda.
 
Back
Top Bottom