Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USIWAKATISHE WATU TAMAA WAACHE WAJIANDAE KWA INTERVIEW KM RIZIKI YAO WATAPATA MIMI KUNA MTU NNAMFAHAMU ALIPATA KAZI TRA NA HAKUNA MTU ANAMJUA HAPO TRA MNAOMBA WATU 3000 WANAHITAJIKA 150 NIKUOMBA TU MUNGUHizi ajira ni kwajili ya graduates wanaojitolea (volunteering) kwenye ofisi za TRA na wale wenye connection, nje ya hapo nafasi chache zitatolewa kwa wengine
Zamani haya mambo yalibanwa kwa chombo kimoja cha utumishi kusimamia ajira zote, sikuhizi taasisi nyingi zinajisimamia kwenye ajira
Wapo wanaojitolea mwishowe hawatoboi vilevile.Hizi ajira ni kwajili ya graduates wanaojitolea (volunteering) kwenye ofisi za TRA na wale wenye connection, nje ya hapo nafasi chache zitatolewa kwa wengine
Zamani haya mambo yalibanwa kwa chombo kimoja cha utumishi kusimamia ajira zote, sikuhizi taasisi nyingi zinajisimamia kwenye ajira
na kuna waliopata hawajawahi kujitolea baadhi ya watu wanapenda kuwakatisha wenzao tamaa kuna jamaa alishafanya interview mpk za utendaji kata na alikosa zikaja kutoka nafasi kubwa zaidi bank wanahitajika watu wachache sana watu wakawa wanamwambia hzo ofisi hupati huna ndugu jamaa kajaribu kapata,kwahyo wanaokatisha tamaa ni wengi sana jiandae kwa interview huku unamuomba sana mungu atafungua njiaWapo wanaojitolea mwishowe hawatoboi vilevile.
Aminana kuna waliopata hawajawahi kujitolea baadhi ya watu wanapenda kuwakatisha wenzao tamaa kuna jamaa alishafanya interview mpk za utendaji kata na alikosa zikaja kutoka nafasi kubwa zaidi bank wanahitajika watu wachache sana watu wakawa wanamwambia hzo ofisi hupati huna ndugu jamaa kajaribu kapata,kwahyo wanaokatisha tamaa ni wengi sana jiandae kwa interview huku unamuomba sana mungu atafungua njia
usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 17-03-2025 hadi 29-03-2025ivi ajira zilizotangazwa January mwaka huu, MDA&LGAs usaili unaweza kuwa mwez wa ngapi zile 465
Hata majina hawajatoausaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 17-03-2025 hadi 29-03-2025
Majina haya ApaHata majina hawajatoa
ivi ajira zilizotangazwa January mwaka huu, MDA&LGAs usaili unaweza kuwa mwez wa ngapi zile 465
usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 17-03-2025 hadi 29-03-2m
Mara nyingi MDA & LGAs wanachukua muda kidogo, nadhani pia wanaenda awamu kwa awamu. Kuna walioomba mwaka jana August na bado hawajaitwa kufanya usaili.ivi ajira zilizotangazwa January mwaka huu, MDA&LGAs usaili unaweza kuwa mwez wa ngapi zile 465
Mwezi wa tatu mbona ushafika nusu sas,HATA MAJINA YA KUITWA BADO UNAULIZIA INTERVIEW LAKINI NNAHISI MWEZI HUU WA TATU HAUTAISHA ITAKUWA USHAITWA KWENYE INTERVIEW JIANDAE TU MUNGU ATAKUSAIDIA NA HII KWA RESMA KM WW CHRISTIAN NA KM MUISLAMU KUNA RAMADHANI MUOMBE SANA MUNGU WAKO KWA UWEZO WAKE UTAFANIKIWA KWANI HII NI MIEZI YA BARAKA KUBWA UKIFUNGA NA KUOMBA HAKUNA LITAKALOSHINDIKANA
Mwezi wa 10 huko km sio 11NNAHISI MWEZI HUU WA TATU HAUTAISHA
Asante boss, lakini mbona hayajakamilika kuna kama mimi niliomba Tax Management Assistant II,Costomer servive Officer II. Hizo hapo kwenye documents hazipo. nimeshindwa kujua kama nipo au sipo. Naomba sana mrejesho ili niwe na taarifa ndani ya Muda.Majina haya Apa
Watu washaanza kazi wewe unauliza usailiSamahani wakuu naomba kuuliza, interview TRA ni lini?
MmhWatu washaanza kazi wewe unauliza usaili