Usaili TRA

Usaili TRA

Habari za mchana. Samahani kwa wote mm nimeitwa kwenye usaili wa TRA naondoka kesho naomba kampani kama kuna mtu nae ataondoka kesho basi tuwe pamoja tukajaribu ingawa watu ni wengi. Kama na wewe utaondoka kesho nicheki kwa namba 0714712474.
Futa namba yako ni kitu sensitive sana kwako kinaweza kuwa traced back to you dogo na usaili ukaferishwa
😎
 
Karibuni Kuna wasafiri w a COASTER MPYA kesho asubuhi Ina kwenda kwenye usahili wa TRA dodoma na kurudi DAR kesho kutwa kwa maelezo zaidi nicheki 0682373327 wahi mapema nafasi zimebakia chache asante.

IMG-20220304-WA0052.jpg

IMG-20220304-WA0051.jpg

IMG-20220304-WA0050.jpg

IMG-20220304-WA0049.jpg
 
Habari za mchana. Samahani kwa wote mm nimeitwa kwenye usaili wa TRA naondoka kesho naomba kampani kama kuna mtu nae ataondoka kesho basi tuwe pamoja tukajaribu ingawa watu ni wengi. Kama na wewe utaondoka kesho nicheki kwa namba 0714712474.
me au Ke?
 
Kila la kheri, ngoja waje kukupa muongozo...
 
Futa namba yako ni kitu sensitive sana kwako kinaweza kuwa traced back to you dogo na usaili ukaferishwa
[emoji41]
Sidhani kama nimefaya kosa hapo ndugu. Watanzania ni wakarimu sana na tumejengewa mazoea ya kuishi kama jamii moja, sio vibaya kukutana na kufanya maandalizi pamoja. Umoja unapunguza gharama na huleta kujiamini.
 
Habari za mchana. Samahani kwa wote mm nimeitwa kwenye usaili wa TRA naondoka kesho naomba kampani kama kuna mtu nae ataondoka kesho basi tuwe pamoja tukajaribu ingawa watu ni wengi. Kama na wewe utaondoka kesho nicheki kwa namba 0714712474.
Umesikia ushauri wa kufuta namba?Sio kila kitu unaweka public.
 
Sidhani kama nimefaya kosa hapo ndugu. Watanzania ni wakarimu sana na tumejengewa mazoea ya kuishi kama jamii moja, sio vibaya kukutana na kufanya maandalizi pamoja. Umoja unapunguza gharama na huleta kujiamini.
Hapana,The number part is not right
 
Back
Top Bottom