GRAPHICS DESIGN
Senior Member
- May 28, 2014
- 103
- 39
In God, we trust.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Futa namba yako ni kitu sensitive sana kwako kinaweza kuwa traced back to you dogo na usaili ukaferishwaHabari za mchana. Samahani kwa wote mm nimeitwa kwenye usaili wa TRA naondoka kesho naomba kampani kama kuna mtu nae ataondoka kesho basi tuwe pamoja tukajaribu ingawa watu ni wengi. Kama na wewe utaondoka kesho nicheki kwa namba 0714712474.
Kweli kabisaFuta namba yako ni kitu sensitive sana kwako kinaweza kuwa traced back to you dogo na usaili ukaferishwa
😎
me au Ke?Habari za mchana. Samahani kwa wote mm nimeitwa kwenye usaili wa TRA naondoka kesho naomba kampani kama kuna mtu nae ataondoka kesho basi tuwe pamoja tukajaribu ingawa watu ni wengi. Kama na wewe utaondoka kesho nicheki kwa namba 0714712474.
kosa lake ni nini hapo?Futa namba yako ni kitu sensitive sana kwako kinaweza kuwa traced back to you dogo na usaili ukaferishwa
[emoji41]
Sidhani kama nimefaya kosa hapo ndugu. Watanzania ni wakarimu sana na tumejengewa mazoea ya kuishi kama jamii moja, sio vibaya kukutana na kufanya maandalizi pamoja. Umoja unapunguza gharama na huleta kujiamini.Futa namba yako ni kitu sensitive sana kwako kinaweza kuwa traced back to you dogo na usaili ukaferishwa
[emoji41]
Umesikia ushauri wa kufuta namba?Sio kila kitu unaweka public.Habari za mchana. Samahani kwa wote mm nimeitwa kwenye usaili wa TRA naondoka kesho naomba kampani kama kuna mtu nae ataondoka kesho basi tuwe pamoja tukajaribu ingawa watu ni wengi. Kama na wewe utaondoka kesho nicheki kwa namba 0714712474.
Hapana,The number part is not rightSidhani kama nimefaya kosa hapo ndugu. Watanzania ni wakarimu sana na tumejengewa mazoea ya kuishi kama jamii moja, sio vibaya kukutana na kufanya maandalizi pamoja. Umoja unapunguza gharama na huleta kujiamini.
Sasa wewe umetumia fursa,Nafikiri ukiweka bei kabisa itapendezaKaribuni Kuna wasafiri w a COASTER MPYA kesho asubuhi Ina kwenda kwenye usahili wa TRA dodoma na kurudi DAR kesho kutwa kwa maelezo zaidi nicheki 0682373327 wahi mapema nafasi zimebakia chache asante.
View attachment 2138502
View attachment 2138503
View attachment 2138504
View attachment 2138505