KERO Usaili wa Kozi za Sayansi Asilia(Natural Science) zinazotolewa CNMS pale UDOM Usitishwe au Upungue

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kozi zinazotolewa CNMS hazina ajira moja kwa moja tofauti na kwenda kuwa Lecturer Chuoni.

Mfano ni Bsc. Physics na Bsc. Biology. Unakuta mtu umebobea kwenye masomo magumu ya Sayansi bila kuwa na Future inayoleleweka.

Serikali isiimize watu kusoma masomo ya Sayansi ikiwa wabobezi wa hayo masomo wanazurura mtaani. Hata Ualimu wa Sekondari hawatakiwi kisa sio Waalimu.

unnamed.webp
 
Kuna mtu humu aliwahi wakati yupo shule alikuwa na akili sana sasa hivi watu wanamshaa jinsi alivyopigika kimaisha! Alisema chuoni alisoma bachelor in mathematics( kumbuka hii sio ualimu) kazi hamna akapata sehemu sehemu ya kujisikiza shule ya private wakaguzi walipotembelea hiyo wakamkuta jamaa anafundisha wakatoa order aindolewe kwa sio mwalimu hapa jamaa alikuwa anapata mshahara ya nyumba ya kuishi alipewa!
 
Hapo sasa si anaenda kuongezea ualimu tu anawaletea mavyeti yao ya kiduanzi halafu basi kwani shingapi?
 
Kuna mtu humu aliwahi wakati yupo shule alikuwa na akili sana sasa hivi watu wanamshaa jinsi alivyopigika kimaisha! Alisema chuoni alisoma bachelor in mathematics( kumbuka hii sio ualimu) kazi hamna akapata sehemu sehemu ya kujisikiza shule ya private wakaguzi walipotembelea hiyo wakamkuta jamaa anafundisha wakatoa order aindolewe kwa sio mwalimu hapa jamaa alikuwa anapata mshahara ya nyumba ya kuishi alipewa!
Duuuh!! Ila kozi zingine ni majanga tupu.
 
Kozi zinazotolewa CNMS hazina ajira moja kwa moja tofauti na kwenda kuwa Lecturer Chuoni.

Mfano ni Bsc. Physics na Bsc. Biology. Unakuta mtu umebobea kwenye masomo magumu ya Sayansi bila kuwa na Future inayoleleweka.

Serikali isiimize watu kusoma masomo ya Sayansi ikiwa wabobezi wa hayo masomo wanazurura mtaani. Hata Ualimu wa Sekondari hawatakiwi kisa sio Waalimu.

View attachment 3552952
Niliwahi kutaka kuingia mkenge mwaka 2021 nikachagua Bsc in Biology kwa kujikuta mwamba wa Biology , nyumbani walinisema sana na marafiki wengi waliona nimekurupuka , Alhamdulillah Kuna mambo yakatokea sikuenda kuripoti chuo nikaenda mwaka uliofuatia nikabadili chuo na kozi .
 
Mtu aliyesomea hayo masomo anakuwa coke akienda master's.hawa wanafunzi wakiwa advance wengi wanakuwa na mihemuko ya kwenda chuo wakijua wanaenda kula boom na kustarehe wakisahsu future zao.ndio maaana huwa wanachagua program ilimladi tu aende university.unakuta mtu ashachaguliwa anafika chuo hana uerewa na program ambayo anaenda kusoma. Naierewa mkubwa kuhusu bsc biology naweza nikajibu vizuri kama Kuna mutu anaswali kuhusu hiyo program
 
Sasa hapo si bora mtu asome ualimu tu ili ieleweke tu?

Hizo programme ni upotevu wa muda
 
Kuna mtu humu aliwahi wakati yupo shule alikuwa na akili sana sasa hivi watu wanamshaa jinsi alivyopigika kimaisha! Alisema chuoni alisoma bachelor in mathematics( kumbuka hii sio ualimu) kazi hamna akapata sehemu sehemu ya kujisikiza shule ya private wakaguzi walipotembelea hiyo wakamkuta jamaa anafundisha wakatoa order aindolewe kwa sio mwalimu hapa jamaa alikuwa anapata mshahara ya nyumba ya kuishi alipewa!
Akasome postgraduate diploma in education mwaka mmoja. Hana washauri?
 
Lecture wao ndo walewale wa majani ova.
 
Back
Top Bottom