Abtali mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 665
- 515
Zimesalia siku mbili usaili wa walimu daraja la IIIC uanze. Hata hivyo, Daraja la IIIC ulishaanza kwa wale ambao masomo yao hayakuwa na usaili wa kuandika ila usaili wa mazungumzo pekee. Kwa wale wa usaili wa mazungumzo, mambo yanaanza tarehe 24/01/2025.
Walimu wengi hawafahamu katika usaili huu wataulizwa maswali gani? Je katika usaili wa Geography, au Kiswahili au History au English au Biology, katika mtihani wa kuandika, yataulizwa maswali yanayohusu somo husika ama yatalizwa maswali yanayohusu taaluma ya ufundishaji.
Binafsi naona yataulizwa maswali yanayohusu somo husika, halafu katika usaili wa mazungumzo, ndiyo yataulizwa maswali yanayohusu taaluma ya ufundishaji.
Una maoni gani? Jiunge katika group la Whatsapp kupata update na maoni mbalimbali kuhusu mitihani hii... Jiunge Hapa.