Usaili wa Kuandika kwa Nafasi ya Afisa Utamaduni II (Cultural Officer grade II)

Joined
Oct 23, 2022
Posts
97
Reaction score
99
Habari wapendwa,

Kuna ndugu yangu ameitwa kwenye usaili nafasi ya Afisa Utamaduni II (Cultural Officer Grade II) anauliza kama kuna yeyote alishawahi kuitwa kwenye usaili wa kuandika kwa nafasi hiyo ni maswali gani yanapendelewa kuulizwa kwenye mtihani wa kuandika?.

Natanguliza shukrani huku nikisubiri majibu ya wajumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…