Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

Jina lako lingekuwemo kwenye orodha ungelete uzi huu?
Umeona umefeli unalaumu.
Kenge wewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna badoo, mtafurahishwa zaidi.
 
Acha uongo dogo pepa simple afu mtu wa kwanza ana 66?🤣🤣we hujapita manake marks zako hazikutosha endelea kupambana🙏
Akili ndogo sana mkuu.. kwahyo kwasababu wa kwanza kabambikiwa 66 ndio ugumu wa pepa unaonekana hapo!? Pepa ilkua simple.. huwez ulizwa maana ya wcf.. ushnwe.. objectives.. elements.. na kila swali lilikua na 25 marks kwahyo ukose maswali matatu 70 kwny maswali yalioulizwa kama hayo
 
Dogo kafel,🤣🤣eti pepa ilikuwa simple,wakati marks zinaonyesha ufaulu sio wa kihivyo,nilitegemea kuona 100,90,80,70 kama kweli pepa ilikuwa simple🙏
Nmegundua naweza kuwa nabishana na wale usije kwny interview barua yako ipo.. au wale mliokua mnajitolea mkapewa pande so mnaogopa interview itafutwa kama ile ya TRA!?
 
Yale yale, paper jepesi.
Tokeo linarudi na sup.
Sijawah pishana na uwezo wangu wa kufikiri.. bachelor yangu ya miaka minne sijawah supp nije kushndwa pepa ya maswali manne yanayouliza maana, objective, elements za taasisi husika!? Tanua fikira mkuu
 
Ahh, tena hyo ndo mbaya bro bora hivhiv tu, ziwe zinatoka utumishi possibility ya kupata iko

Maana huwa naona watu wanapata bila hata connection

Ila ikiwa ndo taasisi aisee ukilitimba utakuwa mwingi sana bro
Yes yanakua kama NSSF.. hamna matangazo ya ajira lakn watu wanaajiliwa.. na wote ni wavaa ushungi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…