Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

Sijaona shida ukizingatia ni social media sipo kwny harakati za kutunga kitabu au kuandika mashairi mkuu.. mwandiko wa nini!?
Huu ni utetezi wa KITOTO kabisa na si wa mtu msomi mwenye shahada!
Mtu mwenye shahada anatakiwa awe wa mfano kwa karibu kila kitu kama enzi zetu.
Siku hizi msomi kabisa anaandika abari gani? Ujambo?
ii ni ujuma!
Aibu sana.
 
Unachofanya na ulichosema ni kweli. Kuna Shida sana Kwa kazi za Utumishi haswa idara kama hizo. Juzi kuja watu walifanya usaili wa FOREIGN AFFAIRS yaani Watu wamefika mpaka oral lakin kuja kuitwa wanaita sura mpya. Wengine unaambiwa max zao zilikua za kawaida ila sim inapigwa maksi zinaongezwa
 
Back
Top Bottom