Unachofanya na ulichosema ni kweli. Kuna Shida sana Kwa kazi za Utumishi haswa idara kama hizo. Juzi kuja watu walifanya usaili wa FOREIGN AFFAIRS yaani Watu wamefika mpaka oral lakin kuja kuitwa wanaita sura mpya. Wengine unaambiwa max zao zilikua za kawaida ila sim inapigwa maksi zinaongezwa