Usain Bolt aingia kwenye kashfa ya picha za mahaba na mwanafunzi

Usain Bolt aingia kwenye kashfa ya picha za mahaba na mwanafunzi

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
x3779B34E00000578-3752215-image-a-34_1471828920503.jpg.pagespeed.ic.-BVSc9FNrm.jpg
x377A855900000578-3752215-image-a-83_1471832133632.jpg.pagespeed.ic.OS1TUmomQy.jpg
xnice.jpg.pagespeed.ic.GugD5Miaoa.jpg


Mwanariadha wa Jamaica, Usain Bolt (30) ameingia kwenye kashfa baada ya picha zake kadhaa akiwa na mwanafunzi wa kike wa Rio wa miaka 20 kusambaa mtandaoni.

Mwanafunzi huyo ambaye ametambulika kwa jina la Jady Duarte alisambaza picha kadhaa kwenye mtandao wa Whatsapp akiwa na Bolt kwenye pozi mbalimbali za kimahaba huku picha nyingine zikiwaonyesha wakiwa kwenye klabu ya usiku ya Barra de Tijuca iliyopo jijini Rio de Janeiro.

Akiongea na gazeti la Extra, Duarte amedai kuwa hakuwa anafahamu kama mwanariadha huyo ni maarufu zaidi duniani ndio maana ikawa rahisi kwake kusambaza picha hizo.

xUsainBoltNike.jpg.pagespeed.ic.MNBRFj2oK1.jpg


Hata hivyo hayo yakiendelea kutokea Bolt anasherehekea kusaini dili jipya na kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Nike kwa mkataba wa miaka 10 ambao atakuwa akiingiza kiasi cha dola milioni 30 kila mwaka akiungana na mcheza kikapu, Kevin Durant aliyesaini na kampuni hiyo mwaka 2014.
 
Basi tu kwa vile yeye ni maarufu ndio azuiliwe starehe. Starehe yenyewe kafanya na mtu mzima mwenzake tena huenda waliishia kucheza tu kama picha zinavyoonesha, so what wrong. Udaku noma
 
Wamemtafuta sana kwenye kila angle wamemkosa naona sasa wanataka kumfanyia kama walivyo mfanya Tiger Woods
Huyo Mwanafunzi Club alikua anafanya nini ?

Ndio yale yale yaliyo mkuta Akon mpaka akaishia kutunga wimbo wa Sorry,blame it on me kuomba msamaha
 
Huyo mdada ni kichaa kwa hiyo kauli yake "eti alikua hajui kama bolt ni maarufu duniani" seriously?
 
Sheria za Brazil zinamtambua mtoto kuanzia miaka mingapi na mwisho miaka mingapi....... ikiwa mwisho ni 21,basi Bolt imekula kwake.
 
Miaka 20 mtu mzima au wazungu washaanza fitina zao kwa watu weusi, huyo dem kashobokea dundo, alafu dundo likamvaa, hapo hamna cha mtoto, figisu za wazungu hizo
 
Usain Bolt aingia kwenye kashfa ya picha za mahaba na mwanafunzi nchini Brazili.

377AA24D00000578-0-image-a-74_1471831892172.jpg
 
Back
Top Bottom