Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry acon alitunga sababu ya wizi wa magari kuomba msamaha jamii. jamaa kabla hajawa mwanamziki alikua mwizi wa magari alietukuka.Wamemtafuta sana kwenye kila angle wamemkosa naona sasa wanataka kumfanyia kama walivyo mfanya Tiger Woods
Huyo Mwanafunzi Club alikua anafanya nini ?
Ndio yale yale yaliyo mkuta Akon mpaka akaishia kutunga wimbo wa Sorry,blame it on me kuomba msamaha
Black Africa!!kuna shida gani?
Nawaza jamaa alivyo kuwa akiikunguka hyo k!Miaka ishirini? eti mwanafunzi...
Inawezekana ni kweli mkuu si unajua tena nimeishia darasa la 4b hebu nisaidie kutafsiri hapo chini nisije nika aibika bana [emoji38][emoji38]Sorry acon alitunga sababu ya wizi wa magari kuomba msamaha jamii. jamaa kabla hajawa mwanamziki alikua mwizi wa magari alietukuka.
Sasa hapo kashfa ni ipi?
Nilishtuka kweli kuona huu uzi nikadhani sasa wanaichafua reputation ya UB, kumbe mtu mzima kabisa!
Na wanamtafuta kweli. Just like any black athlete or figure that is doing so great. Waliyowafanyia kina Kobe, Tiger, MJ, Cosby....Jamaa awe makini sana.
paparazziAkina nani hao wanaomtafuta Bolt?
paparazzi
how's that?So it comes with the territory...
how's that?
Hahahaa ila nimeusahahu huo wimbo sijui alitoa 2002 nimeutafuta nimeukosa hata jina wala lyrics sijui.Inawezekana ni kweli mkuu si unajua tena nimeishia darasa la 4b hebu nisaidie kutafsiri hapo chini nisije nika aibika bana [emoji38][emoji38]
I'm sorry that it took so long to see
They were dead wrong trying to put it on me
I’m sorry that it took so long to speak
But I was on tour with Gwen Stefani
I’m sorry for the hand that she was dealt
For the embarrassment that she felt
Just a little young girl trying to have fun
Her daddy should've never let her out that young
I’m sorry for Club Zen getting shut down
I hope they manage better next time around
How was I to know she was underage
In a 21 and older club they say
Why doesn’t anybody wanna take blame
Verizon backed out disgracing my name
I’m just a singer trying to entertain
Because I love my fans I’ll take that blame