Usain Bolt amshinda tena Gatlin m200

Usain Bolt amshinda tena Gatlin m200

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,407
Reaction score
3,260
Mashindano ya World Championship yanayoendelea nchi China yamedhihirisha kwa mara nyingine tena kwamba Mjamaika Usain Bolt bado hana mpinzani baada ya kushinda mbio za mita 200 wanaume

Ikumbukwe kwamba katika mashindano ya awali kutafuta kufuzu mita 100 Gatlin aliongiza katika mbio zote kwa muda bora zaidi ya Usain Bolt lakini Usain bolt akashinda kwenye fainali.
Wachambuzi wengi wa mchezo huu walikua wanampa nafasi kubwa sana Gatlin kushinda mbio za mita 100 na mita200 kutokana na kwamba Usain bolt alikua nje ya mashindano kwa muda kutokana na majeruhi na hakuonyesha ubora wa juu katika kufuzu

Justin Gatlin ambaye alipatwa kusimamishwa mara mbili mashidano kutokana na matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu ndiye alikua anapewa nafasi kubwa kushinda
Lakini sasa ameisha shindwa mita 100 na leo hii ameshindwa tena m200 na bolt
 
uploadfromtaptalk1440739173865.jpg
 
Lowassa ni kama Usain Bolt
Labda ni kama Gatlin... ana kashfa ya kutumia madawa ya kuongeza nguvu, ameongoza heat zote mbili na kushindwa katika fainali zote mbili.

Hii ndio itakayo mkuta Lowassa kuongoza kwa mafuliko katika kampeni na kuja kushindwa na Magufuli katika fainali...

#HapaKaziTu
 
Back
Top Bottom