Usain Bolt haamini macho yake baada ya kushindwa

Usain Bolt haamini macho yake baada ya kushindwa

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
32,406
Reaction score
55,148
Lakini tutamkumbuka kama the best sprinter
5a47781c30663d5a74d25ebe5284bea5.jpg
 
Kwahiyo macho yake ndo yanakimbia??

Siku zote katika maisha kuna mwanzo na mwisho....

Kama Tyson alipigwa mpk akang'ata mtu sikio... Bolt lazima akubali kuna miguu mipya inazaliwa....

Hivyohivyo kwa Messi, Ronaldo, Neymar, Magufuli, Kagame, Mugabe, Museveni, Nkurunzinza, Makonda et el
 
Kwahiyo macho yake ndo yanakimbia??

Siku zote katika maisha kuna mwanzo na mwisho....

Kama Tyson alipigwa mpk akang'ata mtu sikio... Bolt lazima akubali kuna miguu mipya inazaliwa....

Hivyohivyo kwa Messi, Ronaldo, Neymar, Magufuli, Kagame, Mugabe, Museveni, Nkurunzinza, Makonda et el
Hata Tundu Lisu, ingawa unakwepa kumtaja.
 
Naona media zote zinamuonesha yeye kuliko mshindii this world isn't fair

It is fair, he has been best sprinter ever without drugs ever. He is the best and his record will stand test of time.

Greatness is determined by your

1) Longevity.
2) How many years your were number one.
3) How many medals you won,
4) How you compete fair on unfair (Example Justin Gatlin compete while he is full of drugs)
5) Lose with magnanimity and decency.

He has done that, he is the greatest athlete ever.
 
Picha ni picha tu kwani sio bolt huyo
Taaluma ya habari inakinzana na unachokiamini...

Huwezi weka picha ya ugali halafu maelezo yako yanaelezea kisamvu...

Bolt hata hakushtuka wala kushangaa alivyoshindwa leo, alichofanya ni kuendelea kuzunguka uwanja na kuaga mashabiki na uwanja mzima ulikuwa ukiimba jina lake...

Justin ye alikuwa busy na ndugu zake wa NBC Sports akihojiwa huko na hata kabla ya hapo kama umetazama vizuri Bolt alimfuata jamaa akamkumbatia na kuongea naye kwa sekunde kadhaa...
 
Asafa Powell aliikaribia karibia lakini mmh hatuwezi kujua labda atakuja tokea wa kuivunja
That was way back, Asafa aliweka rekodi kabla 9.77 sec (2005) then akaivunja yeye mwenyewe 9.74 sec (2007)...

Bolt akaivunja 2008 kwa 9.72sec and since then it has been Usain Bolt dominance akiweka rekodi na kuvunja hadi alipohit hiyo mark ya 9.54sec
 
Back
Top Bottom