Usain Bolt haamini macho yake baada ya kushindwa

Usain Bolt haamini macho yake baada ya kushindwa

Taaluma ya habari inakinzana na unachokiamini...

Huwezi weka picha ya ugali halafu maelezo yako yanaelezea kisamvu...

Bolt hata hakushtuka wala kushangaa alivyoshindwa leo, alichofanya ni kuendelea kuzunguka uwanja na kuaga mashabiki na uwanja mzima ulikuwa ukiimba jina lake...

Justin ye alikuwa busy na ndugu zake wa NBC Sports akihojiwa huko na hata kabla ya hapo kama umetazama vizuri Bolt alimfuata jamaa akamkumbatia na kuongea naye kwa sekunde kadhaa...
Hivi ulikuwa unaangalia picha tu au ulikuwa unasikiliza
I thought you are better than this
Naona imekuwa ligi sasa
Hebu mzee tuyaache
 
Lakini tutamkumbuka kama the best sprinter
5a47781c30663d5a74d25ebe5284bea5.jpg
Hata MEIWEDHA JR atadundwa pambano lake la mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Tundu Lisu, ingawa unakwepa kumtaja.
Tundu Lissu, Mbowe, Lipumba, Zitto, Lowassa... nani mwingine ambaye sijamtaja... Oh kumbe kuna kina Pengo, Malasusa...

Wengine tena... Magonjwa Mtambuka, Asprin.... taja wote uwajuao hakuna atakayebaki mshindi. Wote tutalazwa chini ya tani saba ya udongo hata kama tuna mamlaka gani

Cha msingi tenda wema uende zako...
 
Naona hii ni salamu kwa bwana Floyd Mayweather ,lolote lile linaweza kutokea.

Klitshko alipigwa na AJ,Pac akapigwa na Jeff Horn ,sasa sijui Conor naye atafanya maajabu.

Roho itaniuma sana kwa kweli kama mwanangu Floyd atakalishwa na haka kajamaa.
 
Kwahiyo macho yake ndo yanakimbia??

Siku zote katika maisha kuna mwanzo na mwisho....

Kama Tyson alipigwa mpk akang'ata mtu sikio... Bolt lazima akubali kuna miguu mipya inazaliwa....

Hivyohivyo kwa Messi, Ronaldo, Neymar, Magufuli, Kagame, Mugabe, Museveni, Nkurunzinza, Makonda et el

Mkuu wote hao sawa wapo watakao wa-replace, lakini huyo ndugu bolded red sidhani kama kutapata tokea kama yeye. Huyo ni Limited edition.
 
Ni kweli mkuu hata Lowasa inatakiwa apumzike. Nimemsikia nikiwa mdogo hadi sasa nina watoto wakubwa!!
 
Ni kweli mkuu hata Lowasa inatakiwa apumzike. Nimemsikia nikiwa mdogo hadi sasa nina watoto wakubwa!!
Hayo ni mapenzi ya Mungu. Yesu alipumzika kabla ya baba yake mlezi Yusufu. Apangaye kifo ni Mungu pekee. Kama wewe wapenda afe basi tumwachie Mungu asikie kilio chako na akutendee miujiza
 
Hayo ni mapenzi ya Mungu. Yesu alipumzika kabla ya baba yake mlezi Yusufu. Apangaye kifo ni Mungu pekee. Kama wewe wapenda afe basi tumwachie Mungu asikie kilio chako na akutendee miujiza
Nadhani wewe unajua kuandika tu lakini kusoma hujui. Wapi nimeandika kwamba Lowasa anatakiwa kufariki?
 
It is fair, he has been best sprinter ever without drugs ever. He is the best and his record will stand test of time.

Greatness is determined by your

1) ongevity.
2) How many years your were number one.
3) How many medals you won,
4) How you compete fair on unfair (Example Justin Gatlin compete while he is full of drugs)
5) Lose with magnanimity and decency.

He has done that he is the greatest athletic ever.
Kama Gatlin atakuwa katumia madawa tena basi wazo la mdau hapo chini linawezekana
4f82c2c8ba8f66fef52851ad3774ba51.jpg
 
Mkuu wote hao sawa wapo watakao wa-replace, lakini huyo ndugu bolded red sidhani kama kutapata tokea kama yeye. Huyo ni Limited edition.
Wala sikatai maadam una uhakika.... Najua una uhakika kuna atakayemreplace baba yako.
 
It is fair, he has been best sprinter ever without drugs ever. He is the best and his record will stand test of time.

Greatness is determined by your

1) ongevity.
2) How many years your were number one.
3) How many medals you won,
4) How you compete fair on unfair (Example Justin Gatlin compete while he is full of drugs)
5) Lose with magnanimity and decency.

He has done that he is the greatest athletic ever.
Thank you for the good explanation
 
Back
Top Bottom