Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
- Thread starter
- #21
Hivi ulikuwa unaangalia picha tu au ulikuwa unasikilizaTaaluma ya habari inakinzana na unachokiamini...
Huwezi weka picha ya ugali halafu maelezo yako yanaelezea kisamvu...
Bolt hata hakushtuka wala kushangaa alivyoshindwa leo, alichofanya ni kuendelea kuzunguka uwanja na kuaga mashabiki na uwanja mzima ulikuwa ukiimba jina lake...
Justin ye alikuwa busy na ndugu zake wa NBC Sports akihojiwa huko na hata kabla ya hapo kama umetazama vizuri Bolt alimfuata jamaa akamkumbatia na kuongea naye kwa sekunde kadhaa...
I thought you are better than this
Naona imekuwa ligi sasa
Hebu mzee tuyaache