Usain Bolt haamini macho yake baada ya kushindwa

I saw that coming...

Hata kipindi kile alichoshinda... Ilikuwa bado kidogo sana ashindwe... Watu wakaziita mbwembwe...



Cc: mahondaw
 
Swadakta maneno yako nguvu kitu cha kwisha walikuwapo kina Carl lewis kina Ben johnson kina joe frazier achilia mbali mohamed ali (the great )wote wamepita akubali kila zama na kitabu chake umetoa mfano murua kabisa.
 
Umechanganya wanasiasa na wanamichezo
 
Hahahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila jambo na wakati wake na majira yake
Bolts era is over now
 
Hands down to him.

Msolo[emoji769]
 
Sijui kwanini but nilipata hizi hisia,nikajisemea ni Mara yake ya mwisho lakini hatoshinda. Duh!!!
 
Hii nibtrick ya bolt ili siku akisema am coming back to reclaim my stolen victory apige mpunga wa kutosha. Tayari ushindi wake mfululizo ulikuwa unamnyima pesa za wadhamini kwenye mashindano na ilikuwa inarudisha nyuma tasnia ya riadha duniani.
Kaeni mkao wa kula mutasikia bolt anarudi kuweka heshima ili astaafu rasmi.
Mark my words mark the date and time....history will always be our best teacher.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Usain Bolt really is very stupid. He was supposed to know that time is not with him. It will happen to Mayweather when he comes back to the ring

Sent using Jamii Forums mobile app
Hela kitu kibaya sana
Hapo alitegemea mpunga wa maana lakini mwili umegoma
Au Gatlin kabwiya tena madawa yake we don't know yet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…