AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Uko sahihi kiongozi wangu [emoji120]Yanga wanunue beki wa Kati na namba 9 hatari Kama Mayele other wise kumtegemea Mayele bado ni kosa
Bangala acheze namba 6
Ni lini tuta anza kuwa amini wachezaji wetu Bacca apewe nafasi mbona anawezaYanga wanunue beki wa Kati na namba 9 hatari Kama Mayele other wise kumtegemea Mayele bado ni kosa
Bangala acheze namba 6
Kocha hamtendei haki huyu kijana, kwa mechi alizocheza kaonesha kiwango kikubwa sana sijui kwanini kocha anashindwa kuendelea kumpa nafasiNi lini tuta anza kuwa amini wachezaji wetu Bacca apewe nafasi mbona anaweza
Nakubaliana na wewe moja kwa moja, mengine ni kuhangaika tu na kujaza rundo la wachezaji.Yanga wanunue beki wa Kati na namba 9 hatari Kama Mayele other wise kumtegemea Mayele bado ni kosa
Bangala acheze namba 6
Ukisoma ukiwa umetumia Ngada huwezi tofautisha kati ya Mzungu na MuzunguNa wao wameona walete mzungu???? Haahhaha
Au mzungu wa unga
Na zungu la ungaUkisoma ukiwa umetumia Ngada huwezi tofautisha kati ya Mzungu na Muzungu
Uko sahihi kabisa muzee.Yanga wanunue beki wa Kati na namba 9 hatari Kama Mayele other wise kumtegemea Mayele bado ni kosa
Bangala acheze namba 6
Ni kweli Bacca ni mzuri sana, height, age na movements zake yuko njema sana.Kocha hamtendei haki huyu kijana, kwa mechi alizocheza kaonesha kiwango kikubwa sana sijui kwanini kocha anashindwa kuendelea kumpa nafasi
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Ambundo abaki ni squad player mzuri tu.~ Yanga wamalizana na Muzungu kutoka Berkane.
~ Yanga wanamaliza na Bobosi.
~ Yanga wanatarajia kuwatumia Yacouba, Sogne na Kambole kwenye mashindano ya Mapinduzi, ili kuwaangalia nani wa kumuacha na nani wa kumbakiza.
~ Yanga wapo mbioni kuachana na Makambo, Ambundo.
Sijapata za uhakika kutoka Simba na sehemu zinginezo.
Ambundo aondoke, hajui, mchezaji anapewa nafasi lkn bado haoneshi matumaini. Bora Yusuf Athmani.Ambundo abaki ni squad player mzuri tu.
Ambundo hamna kituAmbundo abaki ni squad player mzuri tu.