Tetesi: Usajili dirisha dogo

Tetesi: Usajili dirisha dogo

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
~ Yanga wamalizana na Muzungu kutoka Berkane.

~ Yanga wanamaliza na Bobosi.

~ Yanga wanatarajia kuwatumia Yacouba, Sogne na Kambole kwenye mashindano ya Mapinduzi, ili kuwaangalia nani wa kumuacha na nani wa kumbakiza.

~ Yanga wapo mbioni kuachana na Makambo, Ambundo.

Sijapata za uhakika kutoka Simba na sehemu zinginezo.
 
Kila la heri Wananchi. Muongeze majembe machache kwa ajili ya kuimarisha kikosi.
 
Mimi mwenyewe nasubiri kuona wanaotambulishwa...
 
~ Yanga wamalizana na Muzungu kutoka Berkane.

~ Yanga wanamaliza na Bobosi.

~ Yanga wanatarajia kuwatumia Yacouba, Sogne na Kambole kwenye mashindano ya Mapinduzi, ili kuwaangalia nani wa kumuacha na nani wa kumbakiza.

~ Yanga wapo mbioni kuachana na Makambo, Ambundo.

Sijapata za uhakika kutoka Simba na sehemu zinginezo.
Ambundo abaki ni squad player mzuri tu.
 
Back
Top Bottom