ndemesi
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 380
- 121
Inasadikika kua Yanga bado hawajafanikiwa kumsainisha mshambuliaji wa Simba Ibrahimu Ajibu Migomba kwa kile kinachodaiwa kua wameshindwa kumlipa pesa yote japo walikwisha kukubaliana kila kitu.Ajibu amegoma kusaini kwa mkopo hivyo bado viongozi wa Yanga wanahaha kuweka mambo sawa.Tukiachana na hilo inasemekana pia yule kiungo wa Mbao fc Pius buswita ameziacha timu za simba na yanga zikiwa njia panda baada ya kusaini mikataba yote miwili yaani mmoja wa simba na mwingine wa Yanga.Tusubiri muda ndio utatupa majibu mazuri.