Usajili huu unaofanywa na Simba ni mapendekezo ya kocha gani? Ni uhuni na kukosa weledi, wamechanganyikiwa

Sote tunajua wazi simba hawana kocha tangu pablo kutoka real Madrid afukuzwe..!

Kwa hivyo nafasi yake yupo kocha wa muda ambaye alikuwa msaidizi yaani matola..!

Wakati haya yakiendelea huko yanga wanafanya usajiri wa lazarous kambole ambaye ni pendekezo la kocha nabi, kwa maana yanga wanafanyia kazi mapendekezo ya kocha wao,

Hii ni maana halisi ya uweledi katika kazi kama ambavyo mataifa mengine yanafanya, ikumbukwe kuwa kocha nabi aliletewa beki wa kushoto kutoka Uganda mustapha kiiza lakini alimkataa na uongozi ukaachana naye...

Sasa huku simba hawana kocha je mapendekezo haya ya usajiri ni kutoka kwa nani?
Wamemsajiri Moses phiri je amependekezwa na kocha gani?

Wamemsajiri victor akpan je kocha yupi amependekeza?

Hapa unakuja kugundua wazi simba kuna wizi na upigaji mkubwa sana, naanza kuamini yale mambo ya 10 percent kuna wapiga dili wengi humo..
Halafu kwa mtindo huu eti wanataka waingie fainali huko cafcl!

Utaingiaje ikiwa unao viongozi wezi na wapiga dili?
Utaingiaje ikiwa tajiri yeye ndo anasajiri bila mapendekezo ya kocha?
Utaingiaje ikiwa team ina migogoro ya ndani kwa ndani baina ya viongozi wenyewe ambao kiuhalisia wote ni wezi na wamepishana maslahi yao ya wizi?

Sawa basi tuseme matola ndo amemtaka akpan? What next then?

Halafu akija kocha mpya anapewa wachezaji hawa wa hovyo waliosajiriwa kwa madili na 10 percent eti malengo yetu ni kufika fainali! Fainali ipi hiyo?

Haya bwalya ameachwa, je ni pendekezo la nani kuwa aachwe? Kocha gani?
Vipi kocha mpya asisubiriwe kwanza kisha achague wachezaji anaowataka na wale watakaotemwa sababu yeye ndio mkufunzi wao?

Kuna harufu ya rushwa na upigaji mkubwa sana humo..! Na sio ajabu tukaambiwa pablo ametoka real Madrid kumbe ni wizi na udalali..

Simba ni klabu inayoendeshwa kizamani

Mwisho kuiga wengne wanayofanya ni sawa sio dhambi, yanga apongezwe kwa hili.
Nakazia
 
Mapendekezo hayo yanatoka kwa Barbara na Mudy
 
Ubingwa Msimu mmoja tu huu kelele mjini kama makinda ya ndege
 
Hapa unakuja kugundua wazi simba kuna wizi na upigaji mkubwa sana, naanza kuamini yale mambo ya 10 percent kuna wapiga dili wengi humo.. halafu kwa mtindo huu eti wanataka waingie fainali huko cafcl! Utaingiaje ikiwa unao viongozi wezi na wapiga dili? Utaingiaje ikiwa tajiri yeye ndo anasajiri bila mapendekezo ya kocha? Utaingiaje ikiwa team ina migogoro ya ndani kwa ndani baina ya viongozi wenyewe ambao kiuhalisia wote ni wezi na wamepishana maslahi yao ya wizi?
Nahisi kama vile una wivu na waliopo madarakani
 
Sasa huku simba hawana kocha je mapendekezo haya ya usajiri ni kutoka kwa nani?
Wamemsajiri Moses phiri je amependekezwa na kocha gani?
kaka kama hujui mpira kaa kimya !! kukaa kimya ni busara pia.
 
Kuna wachezaji walishasajiliwa kabla ya msimu kumalizika kama phiri alisajiliwa kabla ata ya msimu kumalizika alafu kingine Simba anakimbizana na ratiba ya CAF maana walisema majina ya wachezaji yatumwe kabla ya trh30 saivi hawajapata kocha hatuwezi fanya makosa kama ya yanga msimu Huu kwenye mashindano ya CAF Kwa kisingizio hakuna kocha tumsubiri unasema mapendekezo ya kocha vp Madrid ambao miaka yote wanasajili bila mapendekezo ya kocha na akifeli anafukuzwa Simba msimu Huu tulifanya makosa machache sana kwenye usahili na ni kwenye mawili Tu kuwaacha kagere na bila kumuongeza mshambuliaji mwingine na eneo la kiuongo Tu Ila Simba bado nzuri na kocha yoyote anaweza pata ubingwa
 
mimi mwemyewe nimehamia yanga , hu ujinga umenichosha team inaendeshwa bila weledi kabisa,wanajisajilia tu angalia usajili wayanga ulivyotulia walahi hadi raha yaani, kambooole watakoma mabeki mwaka huu
Naona unajifariji Tu Simba hakuna sehemu ambayo wamwkoswa Hadi sass kwenye swala la usajili nyie endeleeni kuomba tarumbeta ubingwa mmepata Ila bado mnaiwazasimba ngoja muende kimataifa tuone kama mmetulia kufanya usajili
 
Tunajua mwisho ni tarehe 30.
Lakini hiki sio kisingizio kabisa kwa sababu kwani wameanza kufanya hivi leo tu? Wameanza Zamani sana, pablo aliwataka vipi wachezaji kati kati ya msimu wapi huko?

Tena CAF msimu huu ndio wameshtukiza tu kwamba imekuwa mapema majina kuwasilishwa simba ni wahuni.
Kumbe waliamza zamani na makombe walichukua jinga kabisa ww unaongea kitu ambacho walikifanya miaka yote makosa ya Simba mwaka huu ni kutoongeza mshambuliaji Tu hakuna kingine
 
Kiufupi ni Madudu matupu yanapaswa kurekebishwa kwa namna kubwa simba wwanajinasibu kwamba wao ni proffesional ,je kwa namna hii au?

Eti kocha akija anaambiwa"wachezaji wetu hawa hapa huyu mwamba wa lusaka usimnyime namba"

Pia"tunataka utufikishe CAFCL final"..!
Nyie mlifika wapi uko CAF mwaka huu si mpo tena na mmewahi kufanya usajili tutaona maana mwaka Jana mliweka visingizio kibao
 
Hizi timu mbili Simba na yanga ni Kama wanakaa meza moja kufanya mambo .
Nina wasiwasi Wana makubaliano yao kuwa wewe tawala misimu kadhaa na Mimi ntakupokea misimu kadhaa ni kama biashara fulani ivi, maana haiwezekani timu km ya Simba ambayo imefika mbali ianze kuporomoka gafla na kuja na mbinu zile zile ambazo ziliwaferisha watani zao yanga misimu kadhaaa.

Mtu lazima upate mashaka kidogo ,inawezekana vipi kwenye usajir ukaacha kusajir wachezaji wa maana na kusajir mchezaji mmoja chama na huku ukiwategemea akina nyoni ,bocco, Gadiel ,mhilu,mwanuke ,kagere ,mugalu eti wakufikishe nusu final shirikisho!!

Why makosa Yale Yale yaendelee kujirudia msimu na msimu .
Ivi hapo Simba kitengo Cha kusajir kipoje au kila kiongozi analeta mchezaji wake.

Za chini chini inasemekana matola anapambana Sana Wawa na bocco na mugalu wabakie msimu ujao maana Ana kamisheni zake toka kwa hao jamaa ,je huu ndio mpira wa kufika mbali?

Niwe mkweli tu hata msimu ujao naiona Simba ikikosa ubingwa na kufanya vibaya club bingwa maana uswahili na ubahili plus upigaji vimetawala hapo msimbazi.

Tunakosa hata nguvu za kwenda viwanjan sabab ya huu ujinga wa wazwaz.pia Simba haijifunz tu kuwa safar hii timu ni za Moto Sana Hakuna urahis hata kidogo ,Ila acha iwe hivyo nadhan viongozi wanatamani siku moja waje washikiwe mabango au kupigwa mayai viza na mashabik ndipo wataelewa uchungu na maumivu wanayopata mashabiki.

Hamna pesa semeni mashabiki wachangie ,lengo timu iwe imara tu acheni blabla

Hizi 10percent zikikomeshwa nadhani tutaenda sawa kabisa ,Kuna viongozi hapo Simba wanapaswa kuchungwa kwa jicho Kali Sana .
Wewe ni mjinga tena kubwa jinga kabisa et matola ana kamisheni Kwa wachezaji unasikiliza story za vijiweni unaleta uku bocco ni mchezaji WA kubaki bado ana msaada Kwa Simba mugalu ataondoka Simba kukosa ubingwa msimu Huu siyo kuwa ndyo makelele kila sehemu
 
Hawa watani nshawazoea anayenishangaza ni Azam kufuata mkumbo wa viongozi kuziiga Simba na Yanga kwenye mambo ya kale hata usajili unakuta Popat ndo anafanya hiyo kazi badala ya kocha
 
Sote tunajua wazi simba hawana kocha tangu pablo kutoka real Madrid afukuzwe..!

Kwa hivyo nafasi yake yupo kocha wa muda ambaye alikuwa msaidizi yaani matola..!

Wakati haya yakiendelea huko yanga wanafanya usajiri wa lazarous kambole ambaye ni pendekezo la kocha nabi, kwa maana yanga wanafanyia kazi mapendekezo ya kocha wao,

Hii ni maana halisi ya uweledi katika kazi kama ambavyo mataifa mengine yanafanya, ikumbukwe kuwa kocha nabi aliletewa beki wa kushoto kutoka Uganda mustapha kiiza lakini alimkataa na uongozi ukaachana naye...

Sasa huku simba hawana kocha je mapendekezo haya ya usajiri ni kutoka kwa nani?
Wamemsajiri Moses phiri je amependekezwa na kocha gani?

Wamemsajiri victor akpan je kocha yupi amependekeza?

Hapa unakuja kugundua wazi simba kuna wizi na upigaji mkubwa sana, naanza kuamini yale mambo ya 10 percent kuna wapiga dili wengi humo..
Halafu kwa mtindo huu eti wanataka waingie fainali huko cafcl!

Utaingiaje ikiwa unao viongozi wezi na wapiga dili?
Utaingiaje ikiwa tajiri yeye ndo anasajiri bila mapendekezo ya kocha?
Utaingiaje ikiwa team ina migogoro ya ndani kwa ndani baina ya viongozi wenyewe ambao kiuhalisia wote ni wezi na wamepishana maslahi yao ya wizi?

Sawa basi tuseme matola ndo amemtaka akpan? What next then?

Halafu akija kocha mpya anapewa wachezaji hawa wa hovyo waliosajiriwa kwa madili na 10 percent eti malengo yetu ni kufika fainali! Fainali ipi hiyo?

Haya bwalya ameachwa, je ni pendekezo la nani kuwa aachwe? Kocha gani?
Vipi kocha mpya asisubiriwe kwanza kisha achague wachezaji anaowataka na wale watakaotemwa sababu yeye ndio mkufunzi wao?

Kuna harufu ya rushwa na upigaji mkubwa sana humo..! Na sio ajabu tukaambiwa pablo ametoka real Madrid kumbe ni wizi na udalali..

Simba ni klabu inayoendeshwa kizamani

Mwisho kuiga wengne wanayofanya ni sawa sio dhambi, yanga apongezwe kwa hili.
Wasubiri mpaka kocha aje halafu huko CAF wapeleke jina lako ukacheze wewe.

Kahangaike na Kambole wenu huko pengine ataweza kufunga angalao magoli matatu msimu huu km kiwango kitapanda kidogo.

Tuachieni Simba yetu.
 
Sote tunajua wazi simba hawana kocha tangu pablo kutoka real Madrid afukuzwe..!

Kwa hivyo nafasi yake yupo kocha wa muda ambaye alikuwa msaidizi yaani matola..!

Wakati haya yakiendelea huko yanga wanafanya usajiri wa lazarous kambole ambaye ni pendekezo la kocha nabi, kwa maana yanga wanafanyia kazi mapendekezo ya kocha wao,

Hii ni maana halisi ya uweledi katika kazi kama ambavyo mataifa mengine yanafanya, ikumbukwe kuwa kocha nabi aliletewa beki wa kushoto kutoka Uganda mustapha kiiza lakini alimkataa na uongozi ukaachana naye...

Sasa huku simba hawana kocha je mapendekezo haya ya usajiri ni kutoka kwa nani?
Wamemsajiri Moses phiri je amependekezwa na kocha gani?

Wamemsajiri victor akpan je kocha yupi amependekeza?

Hapa unakuja kugundua wazi simba kuna wizi na upigaji mkubwa sana, naanza kuamini yale mambo ya 10 percent kuna wapiga dili wengi humo..
Halafu kwa mtindo huu eti wanataka waingie fainali huko cafcl!

Utaingiaje ikiwa unao viongozi wezi na wapiga dili?
Utaingiaje ikiwa tajiri yeye ndo anasajiri bila mapendekezo ya kocha?
Utaingiaje ikiwa team ina migogoro ya ndani kwa ndani baina ya viongozi wenyewe ambao kiuhalisia wote ni wezi na wamepishana maslahi yao ya wizi?

Sawa basi tuseme matola ndo amemtaka akpan? What next then?

Halafu akija kocha mpya anapewa wachezaji hawa wa hovyo waliosajiriwa kwa madili na 10 percent eti malengo yetu ni kufika fainali! Fainali ipi hiyo?

Haya bwalya ameachwa, je ni pendekezo la nani kuwa aachwe? Kocha gani?
Vipi kocha mpya asisubiriwe kwanza kisha achague wachezaji anaowataka na wale watakaotemwa sababu yeye ndio mkufunzi wao?

Kuna harufu ya rushwa na upigaji mkubwa sana humo..! Na sio ajabu tukaambiwa pablo ametoka real Madrid kumbe ni wizi na udalali..

Simba ni klabu inayoendeshwa kizamani

Mwisho kuiga wengne wanayofanya ni sawa sio dhambi, yanga apongezwe kwa hili.
Wewe punguani kahangaike na Utopolo yako. Kenge maji.
 
Weww unayesajili kitaalam kwenye rank za caf uko wapi?
Umefanya nn ?
Mm nipo wapi ?
Nafanya nn?
Msimu ujao kimataifa unaanzia wapi?
Mimi naanzia wapi?
Barua ya mashindano ya friendlies aliyoleta mamelodi kapewa nani ?kwanini usipewe ww mtaalamu?
Kijana acha upuuzi
Mwisho wa siku matokeo ndo yanamatter umebaki kulialia hapa
Sajili unavotaka mkubwa tuache na litimu letu
Umekaa kulialia hapa misimu minne iliyopita ulikua eda huko
Tulia.
 
Tunajua mwisho ni tarehe 30.
Lakini hiki sio kisingizio kabisa kwa sababu kwani wameanza kufanya hivi leo tu? Wameanza Zamani sana, pablo aliwataka vipi wachezaji kati kati ya msimu wapi huko?

Tena CAF msimu huu ndio wameshtukiza tu kwamba imekuwa mapema majina kuwasilishwa simba ni wahuni.
Utopolo tuliza mshono.

Ni lini adui alimwombea mema adui yake. Hangaika na yako.
Ninyi kila siku mada za Simba tu. Ongeleeni ya yanga mufike mbali. Akikosea si ndiyo faida kwako. Macho ndaaniiii, kukodolea kwa jirani!!!
 
Kiufupi ni Madudu matupu yanapaswa kurekebishwa kwa namna kubwa simba wwanajinasibu kwamba wao ni proffesional ,je kwa namna hii au?

Eti kocha akija anaambiwa"wachezaji wetu hawa hapa huyu mwamba wa lusaka usimnyime namba"

Pia"tunataka utufikishe CAFCL final"..!
Halafu unajiita wewe mwana Simba!!!!
Mbona huitaji yanga ili kui promote?
 
Ni ngumu sana mkuu, halafu ukizingatia ni maandalizi ya mwanzo kabisa wa msimu.

Huvi wameshindwa nini kutafuta kocha kwanza.!!
Kocha hatafutwi kama pera wewe boya.

Mwalimu mzuri atafundisha darasa lolote sambamba na weledi wake. Mwalimu huwa na mbinu za kumfundisha mwanafunzi ili aelewe.
 
Wakati mwingine ni sahihi Maana hawa makocha nao wakati mwingine hawaaminiki .
Yanga ilimpa mwinyi zahera mamlaka ya kusajili akaenda kuzoa hakina Kindoki , papaa molinga n.k. Matokeo yake kila mmoja anajua kilichoipata Yanga .
Wakumbushe.

Leo wanajifanya wajuaji. Utopolo ni Utopolo tu.
Haji Manara hakukosea kuwa kule watu wapo wawili tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom