Usajili huu unaofanywa na Simba ni mapendekezo ya kocha gani? Ni uhuni na kukosa weledi, wamechanganyikiwa

Nakazia
 
Mapendekezo hayo yanatoka kwa Barbara na Mudy
 
Ubingwa Msimu mmoja tu huu kelele mjini kama makinda ya ndege
 
Nahisi kama vile una wivu na waliopo madarakani
 
Sasa huku simba hawana kocha je mapendekezo haya ya usajiri ni kutoka kwa nani?
Wamemsajiri Moses phiri je amependekezwa na kocha gani?
kaka kama hujui mpira kaa kimya !! kukaa kimya ni busara pia.
 
Kuna wachezaji walishasajiliwa kabla ya msimu kumalizika kama phiri alisajiliwa kabla ata ya msimu kumalizika alafu kingine Simba anakimbizana na ratiba ya CAF maana walisema majina ya wachezaji yatumwe kabla ya trh30 saivi hawajapata kocha hatuwezi fanya makosa kama ya yanga msimu Huu kwenye mashindano ya CAF Kwa kisingizio hakuna kocha tumsubiri unasema mapendekezo ya kocha vp Madrid ambao miaka yote wanasajili bila mapendekezo ya kocha na akifeli anafukuzwa Simba msimu Huu tulifanya makosa machache sana kwenye usahili na ni kwenye mawili Tu kuwaacha kagere na bila kumuongeza mshambuliaji mwingine na eneo la kiuongo Tu Ila Simba bado nzuri na kocha yoyote anaweza pata ubingwa
 
mimi mwemyewe nimehamia yanga , hu ujinga umenichosha team inaendeshwa bila weledi kabisa,wanajisajilia tu angalia usajili wayanga ulivyotulia walahi hadi raha yaani, kambooole watakoma mabeki mwaka huu
Naona unajifariji Tu Simba hakuna sehemu ambayo wamwkoswa Hadi sass kwenye swala la usajili nyie endeleeni kuomba tarumbeta ubingwa mmepata Ila bado mnaiwazasimba ngoja muende kimataifa tuone kama mmetulia kufanya usajili
 
Kumbe waliamza zamani na makombe walichukua jinga kabisa ww unaongea kitu ambacho walikifanya miaka yote makosa ya Simba mwaka huu ni kutoongeza mshambuliaji Tu hakuna kingine
 
Nyie mlifika wapi uko CAF mwaka huu si mpo tena na mmewahi kufanya usajili tutaona maana mwaka Jana mliweka visingizio kibao
 
Wewe ni mjinga tena kubwa jinga kabisa et matola ana kamisheni Kwa wachezaji unasikiliza story za vijiweni unaleta uku bocco ni mchezaji WA kubaki bado ana msaada Kwa Simba mugalu ataondoka Simba kukosa ubingwa msimu Huu siyo kuwa ndyo makelele kila sehemu
 
Hawa watani nshawazoea anayenishangaza ni Azam kufuata mkumbo wa viongozi kuziiga Simba na Yanga kwenye mambo ya kale hata usajili unakuta Popat ndo anafanya hiyo kazi badala ya kocha
 
Wasubiri mpaka kocha aje halafu huko CAF wapeleke jina lako ukacheze wewe.

Kahangaike na Kambole wenu huko pengine ataweza kufunga angalao magoli matatu msimu huu km kiwango kitapanda kidogo.

Tuachieni Simba yetu.
 
Wewe punguani kahangaike na Utopolo yako. Kenge maji.
 
Weww unayesajili kitaalam kwenye rank za caf uko wapi?
Umefanya nn ?
Mm nipo wapi ?
Nafanya nn?
Msimu ujao kimataifa unaanzia wapi?
Mimi naanzia wapi?
Barua ya mashindano ya friendlies aliyoleta mamelodi kapewa nani ?kwanini usipewe ww mtaalamu?
Kijana acha upuuzi
Mwisho wa siku matokeo ndo yanamatter umebaki kulialia hapa
Sajili unavotaka mkubwa tuache na litimu letu
Umekaa kulialia hapa misimu minne iliyopita ulikua eda huko
Tulia.
 
Utopolo tuliza mshono.

Ni lini adui alimwombea mema adui yake. Hangaika na yako.
Ninyi kila siku mada za Simba tu. Ongeleeni ya yanga mufike mbali. Akikosea si ndiyo faida kwako. Macho ndaaniiii, kukodolea kwa jirani!!!
 
Halafu unajiita wewe mwana Simba!!!!
Mbona huitaji yanga ili kui promote?
 
Ni ngumu sana mkuu, halafu ukizingatia ni maandalizi ya mwanzo kabisa wa msimu.

Huvi wameshindwa nini kutafuta kocha kwanza.!!
Kocha hatafutwi kama pera wewe boya.

Mwalimu mzuri atafundisha darasa lolote sambamba na weledi wake. Mwalimu huwa na mbinu za kumfundisha mwanafunzi ili aelewe.
 
Wakati mwingine ni sahihi Maana hawa makocha nao wakati mwingine hawaaminiki .
Yanga ilimpa mwinyi zahera mamlaka ya kusajili akaenda kuzoa hakina Kindoki , papaa molinga n.k. Matokeo yake kila mmoja anajua kilichoipata Yanga .
Wakumbushe.

Leo wanajifanya wajuaji. Utopolo ni Utopolo tu.
Haji Manara hakukosea kuwa kule watu wapo wawili tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…